Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317

Jamani naogopa kula mishikaki siku hizi tangu nisikie kwenye Kazi ni kazi ya Bonge, huko mburahahti kuna mishikaki ya Nyau. lol! mnisamehe bure wala mishikaki.

Isije ikawa kama yalee ya chapati za Magomeni ambazo watu walikuwa wakizifungia safari toka kila kona ya jiji...siri ikajafichuka, kumbe mti wa kusukumia chapati ulikuwa unafanyiwa kisichoelezeka na watu walivyobaini hilo jamaa akahama mji

Nataka kujua bei ya mishikaki
Jamaa anatisha.Sikui anachanganya na yale mambo?Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend
Hahaaha,
Mimi mfojo simfahamu lakini namsikia tu na hapo Tabata anakouza mishkaki napafahamu.
Lakini kuna jambo ambalo nami siwezi kulidhibitisha. Huyu bwana kabla alikua mwenge (mori road) karibu na kwa Kakobe.
Wanaomfahhamu vizuri wanasema ana nguvu zisizo za kawaida (mimi zisifahamu) lakini pia hiyo mishikaki yake ina ualakini
sana kutokana na nguvu hizo alizonazo. Wapo waliomjaribu (waliotoa taarifa hizi) wakaona majani badala ya nyama nk.
Mimi nimepta taarifa hizi kwa vijana waliofanya nae kazi mwenge lakini ni za chuki am wivu siwezi kuzidhibisha unless kama kuna
mtu mwingine anaweza kutupa taarifa zaid.
Jambo moja ambalo walinistua nalo na naomba tulifanyie kazi. Huyo bwana hua ananunua nyama wapi na Kilo ngapi kila siku
tushirikiane kupata jibu
Wakina mama wana siri sana, huenda huyu ndo babako mzazi
sitashangaa maana mie huwa najiuliza hili pua langu kubwa hivi nimelitoa wapi, mama hana kama hili na huyu ninaeambiwa babangu nae hali kadhalika pua yake ndogo, wadogo zangu wote pia, pua pana na kubwa ninalo peke yangu ndani ya familia!:sad:Wakina mama wana siri sana, huenda huyu ndo babako mzazi

sitashangaa maana mie huwa najiuliza hili pua langu kubwa hivi nimelitoa wapi, mama hana kama hili na huyu ninaeambiwa babangu nae hali kadhalika pua yake ndogo, wadogo zangu wote pia, pua pana na kubwa ninalo peke yangu ndani ya familia!

mi mwenyewe najihisi ni baba mmoja na Jay Z, maana nimefananae nae sana lipua na domo zito.

Mwenye contacts za Jigga naomba anisaidie