Mishikaki kwa MFOJO

Mishikaki kwa MFOJO

Jamani naogopa kula mishikaki siku hizi tangu nisikie kwenye Kazi ni kazi ya Bonge, huko mburahahti kuna mishikaki ya Nyau. lol! mnisamehe bure wala mishikaki.

HAIUI BWANA! KWAN ULISKIA KUNA MTU KAFA KWA KUTAFUNA MISHKAKE YA NYAU? TWNA KWA JIJI HILI USHALISHWA HARAM KIBAO,OMBA MUNGU AKUEPUSHE USIJUE TUU

Isije ikawa kama yalee ya chapati za Magomeni ambazo watu walikuwa wakizifungia safari toka kila kona ya jiji...siri ikajafichuka, kumbe mti wa kusukumia chapati ulikuwa unafanyiwa kisichoelezeka na watu walivyobaini hilo jamaa akahama mji

WALIFANYWAJE JAMANI?

This weekend l was there, watu ni wengi sana, mishikaki haiivi vizuri, labda ukitaka uifaidi uende muda wa mapema mchana

Duu misifa inawafanya walipue hasa weekend ukitaka uifaidi pita pale siku za kawaidaa kati saa 12 na saa 3 usiku hakuna pressure sana utaifaidi haswa...jamaa wanajua kuchagua nyama na kuitengeneza na viungo!!

Mfojo anapatikana tabata segerea kituo kinaitwa chama, kwa hiyo ukipanda magari yanayoelekea segerea au kinyerezi utapafika tu. Ni karibu na kituo cha sanene. Kiukweli kabisaaa kama mteja wa muda mrefu wa mfojo mishikaki yake ni jinatuu haina kiwango nilichodhania. Ni kwaida sana

jamaaa amezidiwa na wateja so ameshindwa kuwahudumia anafanya kulipua sana.

Karibuni tabata...... Mfojo akihama baainakufa, anakohamia full nyomiiiiii

Dah kunakipindi mwaka jana ilikuwa sikosi kwenda pale kila weekend

Jamaa kiukweli anawateja wengi nothing new kwenye hyo mishikaki yake, ya kawaida tu halafu ukienda na ujiandae kuudhika, utasubiri kuletewa hyo mishikaki mpaka ubonyee

Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa mishikaki hiyo atuelekeze huyo Mfojo anapatikana Tabata ipi ili nasisi wengine tukaionje this weekend
Jamaa anatisha.Sikui anachanganya na yale mambo?

Hahaaha,
Mimi mfojo simfahamu lakini namsikia tu na hapo Tabata anakouza mishkaki napafahamu.
Lakini kuna jambo ambalo nami siwezi kulidhibitisha. Huyu bwana kabla alikua mwenge (mori road) karibu na kwa Kakobe.
Wanaomfahhamu vizuri wanasema ana nguvu zisizo za kawaida (mimi zisifahamu) lakini pia hiyo mishikaki yake ina ualakini
sana kutokana na nguvu hizo alizonazo. Wapo waliomjaribu (waliotoa taarifa hizi) wakaona majani badala ya nyama nk.

Mimi nimepta taarifa hizi kwa vijana waliofanya nae kazi mwenge lakini ni za chuki am wivu siwezi kuzidhibisha unless kama kuna
mtu mwingine anaweza kutupa taarifa zaid.

Jambo moja ambalo walinistua nalo na naomba tulifanyie kazi. Huyo bwana hua ananunua nyama wapi na Kilo ngapi kila siku
tushirikiane kupata jibu

mmmhh jamani hayo makubwa tena yaani kweli majani yaonekane kama nyama mbele ya macho ya watu woooote wanaokula hayo 'majani' na wasigundue tu???!!! hizo ni habari za uzushi tu kumharibia mtu soko. na kuhusu nyama, watu hununua nyama machinjioni na kwa yeye aliyeko segerea bila shaka ananunua v ingunguti huko nyama ni bei rahisi hata mie nina biashara yangu ya chakula ilala nanunua nyama vingunguti tena km kilo 50 hivi kwa siku kwa huyo anaeuza mishikaki amezungukwa na baa 3 kuuza kilo 200 si ajabu kabisa hakuna uchawi wala nini ni kujituma tu

uso kama huu umejaa nyama za kutosha (hasa mdomo) mfojo akiupata huu akienda nao kwa kalumanzila akikufanyia dawa ya biashara walah utauza mishikaki hadi uchoke watu wataifuata hat kama watatokea kigamboni au boko!
avatar48016_1.gif

Jamaa anawateja sana pale ila mambo anavyofanya sio kabisa.
Ukimwita afanyaje biashara ya nyama kwenye bar mkikorofishana basi ujue bar yako ina lozzz
Amehama sehemu kibao alikuwa segerea mwisho, BRK, na sasa SEMBETH ANNEX.
Mganga wake yupo Bagamoyoooo.....

Isije kuwa mishikaki ya Mbwa .....! kilo 200 KWA SIKU NGOMBE MMOJA NA NUSU HIYO, HAHAHAAAAH , hawezi mtu mmoja kuuza kwa kiwango hiko, uzushi mtupu, labda kama mishikaki ni ya nyama ya Mbwa.
aliamua kuwadanya clouds kwakua radio yenyewe ni ya vilaza, akajua wataamini tu.

jamaa ana wateja sana ... jamaa alikuwa segerea mwisho then akahamia segerea chama na sasa ndo anafunga wateja sana .. kwa sasa anaanza kuzidiwa na wateja kuna muda ukitoa order unasubiri sana lakini pia inaweza ikawa kampeni ya bar za jirani ili wauze beer

Wakina mama wana siri sana, huenda huyu ndo babako mzazi
sitashangaa maana mie huwa najiuliza hili pua langu kubwa hivi nimelitoa wapi, mama hana kama hili na huyu ninaeambiwa babangu nae hali kadhalika pua yake ndogo, wadogo zangu wote pia, pua pana na kubwa ninalo peke yangu ndani ya familia!:sad:

sitashangaa maana mie huwa najiuliza hili pua langu kubwa hivi nimelitoa wapi, mama hana kama hili na huyu ninaeambiwa babangu nae hali kadhalika pua yake ndogo, wadogo zangu wote pia, pua pana na kubwa ninalo peke yangu ndani ya familia!

mi mwenyewe najihisi ni baba mmoja na Jay Z, maana nimefananae nae sana lipua na domo zito.
Mwenye contacts za Jigga naomba anisaidie

mi mwenyewe najihisi ni baba mmoja na Jay Z, maana nimefananae nae sana lipua na domo zito.

Mwenye contacts za Jigga naomba anisaidie

Crap!

Back
Top Bottom