Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,491
Wifi yenu angekuwa hana choo cha shimo na guu la Heineken.........sijui maisha yangu yangekuwaje hapa duniani. Coz mi ndo ugonjwa wangu huo. Hayo mapichapicha yenu hata hayanishtui kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie tena mama sipitwi, nishapita lolHeaven Sent majuzi kati hapa uliweka kitenge kimoja kizuuri!
Sijui kama tayari umeona hii mishono hapa.
Vitenge kwangu ni nguo ya heshima sana. Na magauni yake huwa yanawapendeza sana nyie huwa hamjui tu.Asante kwa kushare nasi vitu vizuri [emoji120][emoji120].