Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hii screenshot ya pili, picha ya kwanza kabisa naomba nione tafadhali
Kama nilivyosema na picha nyingi ni mishono maana kazi yangu ni kushona hivyo simu imejaa mishono na vyakula maana ni mpishi wa Biryani pia hivyo simu yangu ni mishono vyakula na interior design