Misiba ya Ruge na Kibonde imesahaulika haraka

Mkuu ulitaka tuwe tunaikumbuka kama wa baba wa taifa na moringe sokoine au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa una akili Sana nimekuelewa sana
 
Wote ndugu tutakuwa hivyo hivyo, watoto, mke, ndugu na marafiki watakusahau muda mfupi tu baada ya kudondoka, kubaliana nayo sababu ni hali halisi, na ndio maana watakiwa kula life kinoma, kajumba kamoja, gari nunuwa utakazo, bia, fegi totoz na kila aina ya bata wewe kula tu, maana uwe unajifungia home na wife au tofauti na hapo haijalishi, ukifa gurudumu la maendeleo na maisha haliwezi katu kukusubiri wewe urudi kama yesu au lisimame sababu umekufa, mke ataolewa au kupigwa mpini na wengine na watoto wataendelea na maisha kama haupo vile...
 
Kwanza hawakua maarufu kihivyo,pili walichanganya Maisha na Siasa za CCM,
Ni Kama Komba na CCM alisahaulika ndani ya Wiki..
 
Ngoja afe Baba yako mzazi utapata vizuri taste ya msiba.
 
kafa stive jobs wa apple hitakuwa hawa.sijui nani aliwahi kuandika
"kama ukifa bila kuacha kumbuku zisiko kufa basi ndio hutakuwa umekufa kila kitu"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na wewe mkuu, nadhani msiba kama wa Ruge Clouds waliukuza Sanaa kutokana na media zao tu, ukitoa wadau wa burudani sidhani kama Ruge alikuwa na umaarufu huooo ukifananisha na mtu kama Kanumba.
Hawakuwa maarufu kama unavodhani wewe
labda kwa waliokuwa wanasikiliza cloudsfm

huwezi kuwafananisha na steven kanumba
ambae kifo chake kili trend sana mwaka na zaidi

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Vip na Akwilina maana huyu yupo kichwani na hakuwahi kuwa maarufu kabla ya umauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…