Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z
au autojoin kupitia
fantasy.premierleague.com
Ligi hii ni just for fun lakini pia itakujengea ushindani mkubwa kuweza kushindana hata katika ligi nyingine.
Huu ni msimu wetu wa tatu kwa Jamiiforums fantasy premier league msimu uliopita managers walikuwa wengi sana zaidi ya 150 , Tatizo updates tulipotea kutokana na Changamoto zilizokuwa nje wa uwezo .
Msimu huu kila week Top five managers na Timu zao zitatupiwa hapa .
au autojoin kupitia
Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League
Official Fantasy Premier League 2026/27. Free to play fantasy football game, set up your fantasy football team at the Official Premier League site.