Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
UsihofuMkuu jitahidi updates kama ulivyoahidi , timu yangu iko tayari pale .
Hii week ngumu , namba za viatu tu zinatembeaOyaa wakuu vipi mpaka sasa mambo vipi huko? Mimi nimefeli pakubwa aiseeView attachment 3655713
Mi ntaitumia keenye double week gameKuna mtu kacheza tripple captain kwa haaland?
Kwahiyo hujatumia chip yoyote mpaka sasa? Vipi wild card muda mzuri wa kuitumia ni wakati gani maana saivi nina point 167Mi ntaitumia keenye double week game