GE2025 Misime: Ukiona watu wanashambulia mifumo ya ulinzi ndiyo tabia ya wahalifu

GE2025 Misime: Ukiona watu wanashambulia mifumo ya ulinzi ndiyo tabia ya wahalifu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Akizungumza leo Agosti 21, 2025 katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema watu wanaoshambulia na kulikatisha tamaa Jeshi la Polisi ndio wahalifu.

 
PoliCCM katika ubora wake.

Hapo anaongea huku anawaza cheo.
 
Waharifu Namba Moja Tanzania Ni Askari Na Ndugu Zao Makada-CCM.
SIKU Tukichukua Nchi,tutawakusanya Polisi Wote Nchi Nzima Pale Uwanja Wa Ccm-kirumba Mwanza Na Kuwapiga Bomu La Atomic,hakuna Wa Kupona.
 
..ajiulize kwanini raia wema wanalichukia jeshi letu la Polisi?
 
Back
Top Bottom