DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”
Hiyo ni kauli ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), David Misime wakati akihojiwa na Kituo cha UTV, Oktoba 14, 2025.
Ameongeza “Suala la kutambua huyu ni muandamanaji na huyu ni mpiga kura tutawajua tu, uzuri ni kuwa mfumo wetu umeenda hadi ngazi ya chini kwenye levo ya Balozi.
“Tumetengeneza mfumo mzuri sana ambao siwezi kuuweka wazi muda huu.
“Mitandao ya Kijamii ni mizuri na inatusaidia kwenye shughuli mbalimbali, ikitumika vizuri inaweza kusaidia katika shughuli za kiuchumi na kijamii na mambo mengine mbalimbali, ikiwemo kujiendeleza kielimu na kupokea taarifa.”
Kaka tuna vyombo vya dola vya ovyo sana, ambavyo viko kwa ajili ya kupambana na wanainchi tena kwa njia za kihuni..!!Tangu lini Maandamano yamekuwa ni kosa Tanzania. ...!!?
Kitendo cha wao kuyazuia bila sababu ya msingi ndiyo wanavyoyapromote....!!
Kwanini tupate tabu zote hizo,sikilizeni na rekebisheni pale mnakopishana!“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama hilo lilishawahi kutolewa siku za nyuma na walitambulika na wakachukuliwa hatua.”
Hiyo ni kauli ya Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), David Misime wakati akihojiwa na Kituo cha UTV, Oktoba 14, 2025.
Ameongeza “Suala la kutambua huyu ni muandamanaji na huyu ni mpiga kura tutawajua tu, uzuri ni kuwa mfumo wetu umeenda hadi ngazi ya chini kwenye levo ya Balozi.
“Tumetengeneza mfumo mzuri sana ambao siwezi kuuweka wazi muda huu.
“Mitandao ya Kijamii ni mizuri na inatusaidia kwenye shughuli mbalimbali, ikitumika vizuri inaweza kusaidia katika shughuli za kiuchumi na kijamii na mambo mengine mbalimbali, ikiwemo kujiendeleza kielimu na kupokea taarifa.”
Umetumwaaa kwendraaaa..eti live bullets ovyoo.Hatununui uogaaKaka tuna vyombo vya dola vya ovyo sana, ambavyo viko kwa ajili ya kupambana na wanainchi tena kwa njia za kihuni..!!
Nimepewa taarifa na jamaa yangu wa mboga mboga ambaye yoko kwenye kamati ya maandalizi ya kumpokea mgombea wao wa uraisi, huko kanda ya kati.
Anasema mpango uliopo ni kwamba baada ya 29/10 kupita na hali kuwa shwari, mpango uliopo ni kuwatafuta kila mmoja aliyeshiriki kwa namna moja ama nyingine kuhamasisha maandamano kwanzia mitandaoni mpaka mitaani... akaniambia niwe makini sana na kucomment kwenye zile pages maarufu maarufu zinazohamasisha maandamano kama ya yule dada wa taifa na Maria Sarungi.
Kuhusu maandamano anasema silaha zilizopo kama maji ya washawasha na mabomu ya machozi ambazo ndio kikawaida zinatumika kuzuia maandamano hazitotosha kabisa kama watu watatoka wengi, hivyo kuna uwezekano mkubwa sana police wakatumia live bullets kukabiliana na waandamanaji.
Jamaa anasema kuna vikao visivyo isha vya maafisa usalama na viongozi wa ccm ambavyo vingi ninahusua kuzuia maandamano, hata suala la Lisu sasa hivi haliongelewi sana kama kipindi cha nyuma kwenye vikao vyao.