GE2025 Misime: Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki tutawatambua tu

GE2025 Misime: Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki tutawatambua tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwambie huyo Mjinga, kupiga kura ni kuhalalisha maisha magumu kwa Watanzania. Msako utafanyika kila kona kila uchochoro, ole wake atakayekutwa ana alama ya rangi kwenye kidole. Kidole kitakatwa. Hatuwezi kuendelea kuishi na wasaliti mitaani.
 
Umetumwaaa kwendraaaa..eti live bullets ovyoo.Hatununui uogaa
My dear natamani ungekuwa unanisoma comments zangu humu, kama kuna mtu ambaye anaichukia serikali ya samia humu jukwaani sidhani kama yupo anayenizidi.

Hizo habari ninazokupa nimepewa na kada wa ccm yuko Dodoma ambaye ni mwanangu sana...

Siko hapa kumuuzia mtu yoyote uwoga maana mimi mwenyewe ni mwana mabadiliko na ninafurahia kuona vijana mnazidi kuwa majasiri siku hadi siku.
 
Sawa ila now tunahitaji positive vibes only watu tushachoka usawa huu
 
Sawa ila now tunahitaji positive vibes only watu tushachoka usawa huu
Pamoja sana itabdi raia tujizile tu hakuna namna na sitaleta tena hizi negative news..

...kuna uwezekano mkubwa sana kwa sisi wakosoaji na wapenda haki tusifike 2030 endapo kama hii serikali ya Adolf Samia hassan ikipata miaka mingine mitano, hivyo ni heri wakatumalizie tu kwenye harakati za kudai haki.
 
Back
Top Bottom