Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine..

4 fundamental of life
i. Money and Power
ii. Sex
iii. Food and drink
iv. Umaarufu (fame)

Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala.
............
Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata kitu husika

Linatuhusu wote, mwanamke na mwanaume

Mwanamke unaweka nini Mezani au unatoa huduma gani ili Mwanaume asikuache na kufata mwanamke mwigine. ?

Akili au mawazo ya kuuza mwili kwaajili ya pesa ipo kwa wote Mwanamke na Mwanaume shida ni kwamba soko kwa wanaume ni kama 2%, but kwa mabinti soko ni 98%

Kwahiyo kama huna chochote cha kumuuzia mwenzio so at least you can sale your body 😂

What do you offer to your community?

Nina swali, pia na nyie mnakalibishwa na Maswali..

Swali langu ni ????

1. Endapo Mwanaume ukawa unamahusiano ya kingono na mwanamke ambae, ukilala nae anahakikisha wewe umetupa bao kuanzi tatu.. hivi huyo mwanamke akikuomba hela yako utaku na ujasiri wa kumnyima,

au tuachane na Mapenzi..
Tufungue jukwaa la Mapishi, mie nataka nijifunze kujipikia mwenyewe chakula kitamu, 😞🥴
1000018945.png
 
1+2 unapata 3 ila 4-3 unabaki na 1, naona twende na 1 inatosha kuleta hizo nyinginezo
 
Back
Top Bottom