Imani katika kutoa huduma za afya ni kitu bora sana ukizingatia kunamatukio mbali mbali yanayotokea kupitia huduma za afya katika mazingira ya huduma ikiwemo hospitali za serikali na binafsi pamoja na vituo vidogo vya afya.
Matukio mengi yanayofanyika yanahusisha Imani potofu, na mazoea katika kufanyika kwa vitendo hivyo mfano, utoaji wa mimba changa ,utoaji wa dawa ambazo zinatumika katika matumizi yasiyo faa ikiwemo (drug abuse),
Katika kupambana na vitengo hivi ambavyo vinazidi kukua siku hadi siku, ni vyema kuwepo kwa mitaala inayosimama katika misingi ya kiimani katika vituo au taasisi zinazotoa elimu za wataalam wa kiafya ,ili kujenga hofu yakiimani ambapo itasaidia katika kukinzana na vitendo ambavyo sio vya kiuungana katika huduma za kiafya.