Misingi ya kuishi pamoja

Misingi ya kuishi pamoja

1. Ukifika Sehemu... *Salimia*
2. Ukiondoka Sehemu..... *Aga*
3. Ukisaidiwa....... *Shukuru*
4. Ukiahidi...... *Tekeleza*
5. Ukikosea.... *Omba Msamaha*
6. Kama Hujaelewa..... *Uliza*
7. Unacho... *Gawa Kwa Wengine*
8. Huna.... *Usione Donge*
9. Ukivunja.... *Lipa*
10. Kama Hupendi...... *Heshimu*
11. Ukipendwa... *Onesha Upendo*
12. Huwezi Kusaidia... *Usisumbue*
13. Ukiharibu... *Rekebisha*
14. Ukikopa.... *Lipa*
15. Ukiulizwa .... *Jibu*
16. Ukiwasha....... *Zima*
17. Ukifungua...... *Funga*
18. Ukinunua.... *Lipa*
19. Ukichafua.. *Safisha*
20. Ukipungiwa..... *Punga*
21. Ukiazima... *Rudisha*


_Ukizifuata kanuni hizi, utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela.
ukinyonyeshwa nyonya
 
1. Ukifika Sehemu... *Salimia*
2. Ukiondoka Sehemu..... *Aga*
3. Ukisaidiwa....... *Shukuru*
4. Ukiahidi...... *Tekeleza*
5. Ukikosea.... *Omba Msamaha*
6. Kama Hujaelewa..... *Uliza*
7. Unacho... *Gawa Kwa Wengine*
8. Huna.... *Usione Donge*
9. Ukivunja.... *Lipa*
10. Kama Hupendi...... *Heshimu*
11. Ukipendwa... *Onesha Upendo*
12. Huwezi Kusaidia... *Usisumbue*
13. Ukiharibu... *Rekebisha*
14. Ukikopa.... *Lipa*
15. Ukiulizwa .... *Jibu*
16. Ukiwasha....... *Zima*
17. Ukifungua...... *Funga*
18. Ukinunua.... *Lipa*
19. Ukichafua.. *Safisha*
20. Ukipungiwa..... *Punga*
21. Ukiazima... *Rudisha*


_Ukizifuata kanuni hizi, utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela.
namba 19 ni ngumu sana hasa kwetu me tkimaliza wanawajibikaga wenyewe
 
Acha kazi kwa amani...usigombane na wafanyakazi wenzako au mwajiri wako.
 
Hiyo ya kusalimia sikihizi vijana wameacha. Vijana wa miaka 30 kushuka chini wagumu sana kisalimia anapita tu kama hakuoni......na wadada sasa ndo kabisa.....
 
1. Ukifika Sehemu... *Salimia*
2. Ukiondoka Sehemu...... *Aga*
3. Ukisaidiwa..... *Shukuru*
4. Ukiahidi. *Tekeleza*
5. Ukikosea.... *Omba Msamaha*
6. Kama Hujaelewa..... *Uliza*
7. Unacho... *Gawa Kwa Wengine*
8. Huna.... *Usione Donge*
9. Ukivunja.... *Lipa*
10. Kama Hupendi...... *Heshimu*
11. Ukipendwa... *Onesha Upendo*
12. Huwezi Kusaidia... *Usisumbue*
13. Ukiharibu... *Rekebisha*
14. Ukikopa.... *Lipa*
15. Wakikuuliza .... *Jibu*
16. Ukiwasha....... *Zima*
17. Ukifungua...... *Funga*
18. Ukinunua.... *Lipa*
19. Ukichafua.. *Safisha*
20. Ukipungiwa..... *Punga*
21. Ukipewa.... *Shukuru*
22. Ukiazima... *Rudisha*
23. Huna kitu... *Muombe Mola akupe*
24. Ukipungukiwa..... *Omba msaada*
25. Wakifiwa...... *Kazike*
26. Mgonjwa...... *Kamuangalie*


[emoji3543] *Ukizifuata kanuni hizi, utaona jinsi utakavyoishi na Watu vizuri.*
*Hata kama huna pesa, hii ni kwa Binaadamu wote, hata kama ni Kiongozi.*
 
Back
Top Bottom