Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
27. Ubaya..... *Ubayaniii*
Nimefeli namba 2,sina desturi ya kuaga naondokaga tu kimya kimya kama corona Tanzania
Namba 1 na 2 mtihani kwangu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Habarini za majira haya ndugu zangu Watanzania.Ya maana hapo ni namba 13 tu, menginbe yote siyo muhimu, ...
1. Ukifika Sehemu...... *Salimia*
2. Ukiondoka Sehemu...... *Aga*
3. Ukisaidiwa..... *Shukuru*
4. Ukiahidi. *Tekeleza*
5. Ukikosea.... *Omba Msamaha*
6. Kama Hujaelewa..... *Uliza*
7. Unacho... *Gawa Kwa Wengine*
8. Huna.... *Usione Donge*
9. Ukivunja.... *Lipa*
10. Kama Hupendi...... *Heshimu*
11. Ukipendwa... *Onesha Upendo*
12. Huwezi Kusaidia... *Usisumbue*
13. Ukiharibu... *Rekebisha*
14. Ukikopa.... *Lipa*
15. Wakikuuliza .... *Jibu*
16. Ukiwasha....... *Zima*
17. Ukifungua...... *Funga*
18. Ukinunua.... *Lipa*
19. Ukichafua.. *Safisha*
20. Ukipungiwa..... *Punga*
21. Ukipewa.... *Shukuru*
22. Ukiazima... *Rudisha*
23. Huna kitu... *Muombe Mola akupe*
24. Ukipungukiwa..... *Omba msaada*
25. Wakifiwa...... *Kazike*
26. Mgonjwa...... *Kamuangalie*
27. Wakikata......*Katika*
28. Wakicheka....*Chekelea*
29. Wakilala......*Amka*
30. Wakisema....*Semelea*
Eeh huku safi.Habarini za majira haya ndugu zangu Watanzania.
Apia,[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimeacha ulozi
Nimeacha siasa
Nimeacha bange
Nimetubu..
Nimemrudia Mola wangu[emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]