Misingi ya kukufanya uishi kwa Amani

Misingi ya kukufanya uishi kwa Amani

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
"Sio Kila dhoruba inapokuja, ukimuomba Mungu aiondoe ataiondoa hapana, nyingine ameileta Mahususi Ili akutenge na baadhi ya vitu, ili akutoe katikati ya watu Fulani, au akutoe kwa lazima eneo ambalo ukiendelea kuwepo utadumaa na utashindwa kufikia kilele cha mafanikio yoko.

Nakuombea akili yako ifunguke na Using'ang'ania watu ambao unatakiwa kuachana nao"WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO Usitegemee kupata unachokitoa kwa sababu sio wote wenye Moyo kama wako TUNAISHI HALAFU TUNAISHIA MKUBWA MUNGU
 
Inapobidi ili kuwa na Amani usijali kupoteza haki.
 
Back
Top Bottom