SOUND HEALTH
Member
- Jul 8, 2014
- 82
- 25
Kuanzia mwezi June 2015 Boaz Donard Mwakasaka atatoa mafunzo kuhusu misingi ya mafanikio katika nyanja mbalimbali kama kilimo, biashara, elimu, ujasiliamali nk. Semina hizi zitaendeshwa chini ya tasisi iitwayo mount Rungwe mastermind. Semina zitaanzia wilayani Rungwe mkoani Mbeya na baadaye kusambaa nchi nzima kwa utaratibu utakao tolewa. Lengo kubwa ni kuchochea maendeleo kupitia elimu hiyo. Mafunzo hayo yatatolewa bure kabisa kwa yeyote atakaye penda kushiriki.
Mafunzo yatagusa.
Wakazi wa Rungwe mkoani Mbeya kaeni mkao wa kula kwa uamsho mkuu wa mafanikio. Wenye nia ya kushiriki watume majina kwenye namba 0716 60 99 16. Kumbuka hakuna gharama yoyote, mtarifu na mwenzako.
Mafunzo yatagusa.
- Namna ya kuweka lengo kubwa sana na kutengeneza mikakati ya kitaalamu kufikia lengo hilo
- Ufahamu mkuu
- Jinsi ya kuondokana na hofu mbalimbali
- Elimu ya fedha
- Uongozi
- Nguvu ya fikra
- Namna ya kujenga ari ya kufanya kazi
- Jinsi ya kujitawala mwenyewe
- Kanuni ya kuvuna zaidi ya unachopanda
- Namna ya kuwa mtu mwenye mvuto mkubwa
- Namna ya kujenga uwezo wa kufikiri kwa ufasaha
- Ushirikiano
- Namna ya kukabili changamoto
- Jinsi ya kuchukuliana na wengine
- Nguvu inayoongoza dunia
Wakazi wa Rungwe mkoani Mbeya kaeni mkao wa kula kwa uamsho mkuu wa mafanikio. Wenye nia ya kushiriki watume majina kwenye namba 0716 60 99 16. Kumbuka hakuna gharama yoyote, mtarifu na mwenzako.