Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Eneo la misitu mikubwa iliyobaki ni misitu ya Congo. Afrika tunatumia miti kwa kiwango kikubwa kuanzia kujengea, kupikia na hata dawa mitishamba.
Wenzetu ambao hawatumii miti kama sisi lakini wanafahamu umuhimu wa kupanda miti. Sehemu yenye miti huru Liza hata ufanyaji kazi wa ubongo na kuupa mapumziko.
Ikiwezekana katika mvua za masika panda miti kumi, haijalishi kama ni ya mbao ya matunda lakini lengo ni kuongeza kijani.