Ficha upumbavu wako.Misitu inaficha waasi na makundi ya kigaidi ndio maana vikosi vyote vya ADF, M23, SPLA na vikosi vya lord resistance army vinakimbilia msitu wa Kongo. Ule msitu uchomwe moto wote ili kufukuza makundi haya, sasa sijui watajificha wapi
Wewe ni msabato? Maana ujinga huu huwa nausikiaga kwa Wasabato tu kuanzia Hellen G White alitabiri mwisho wa dunia akafa yeye na dunia inaendelea mpaka leo.Duniani sio kwetu mkuu tusipoiteketeza misitu mungu ataiteketeza siku ya kiama ambayo sio mbali sana kuanzia mwaka huu wa fedha
Majeneza ya plastiki hayatafaa, yataulinda mwili usisambae wakati inatakiwa miili ioze itawanyike iachilie viinilishe kwa ajili ya uhai moya wa mimea na kisha wanyama tena..... tutumie mbao au sanda tu kama tutaona mbao ni hasaraYou are too obsessed with the future.....Technology kama robot,Artificial intelligence na pia Inflation itapunguza population na kuwafanya hao wachache wawe too discipline,yatakuja majeneza ya plastic,maana ni ujinga kukata miti Kisha kuuzika na binadamu wakati kuna watoto wanakaa chini madarasani.