Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepandisha basi kwa sababu ya sukari.Ilikuwa buku-chuma bee tu juzi kati.Nimetoka jana hapo wali nyama buku jero tu hawana bei.
Ni kweli,fanya mawasiliano nao itakuwa vyema maana kwenye website hamna bei zaidi ya ku book restaurant tu,ila si vibaya fanya booking watakupigia ila ni vyema ukapiga simu kufahamu yote hayo mapema.Kweli au ila ngoja niingie ktk website yao
Kabisa kabisa!Hapana,anafahamu kwa vyakula alivyokula.
Maji madogo tu ya kilimanjaro ni elfu nne.Watu kama hawa ni wachache sana, asee nikifanikisha nitakualika next week tujumuike au kunywa Kilimanjaro water hapo ulipo ya baridiii utalipa
Sasa makande yetu yanekukosea nini mkuu?Humu, wengi Njaa tuu,
Wana JF wengi Wanapiga Pasi ndefu na wengine, Wanaojitahidi Ni makande Full package..
WelMoja ya njia wanazotumia pale Wanacharge kichwa halafu unachagua ule nini, bei itabaki pale pale.
Humu, wengi Njaa tuu,
Wana JF wengi Wanapiga Pasi ndefu na wengine, Wanaojitahidi Ni makande Full package..
Wazee weekend inaingia, kuna mitoko na familia, nauliza bei ya misosi ya Serena hotel ikoje?
Mwanaume nataka kubadili upepo kidogo Mke na watoto wangu wasizoee sehemu za kawaida ,
Hutaki kumsaidia hata kwa kidogo unachofahamu?Kabisa kabisa!
Ila wewe😂
Kama ni mlo mmoja tu 300 hadi 350 inatoshaWa nne mkuu
Umenisaidia hapo juu tayari😂😂😂!Hutaki kumsaidia hata kwa kidogo unachofahamu?
Naomba unipeleke tena .
🤣🤣🤣.Naomba unipeleke tena .