Kwa hyo ndege ni inshu sana kwako,toka mmeanza kupanda ndege mshafika hata sem-final ama mnashangalia nini basisawa, sisi bado tunapanda ndege...tupo kombe la shirikisho nyie byebye
Dont panic, mambo madogo haya
kadro 0-0 kwahyo mtindo ni nje aka underootWakimataifa vipi Matokeo Yao?
polee Mtani leo mkeka umechanikaKwa hyo ndege ni inshu sana kwako,toka mmeanza kupanda ndege mshafika hata sem-final ama mnashangalia nini basi
Mkuu kwani mlikua mnashirik Mashujaa Cup???Tumepambana Sana ata tuktoka tunatoka kishujaa
March 17, 2018
Port Said, Egypt
Interview with Simba SC head coach French man Pierre Lechantre at the end of football match with Al-Masry in Port Said a moment ago
Source: ON sport
Tumepga soccer SafMkuu kwani mlikua mnashirik Mashujaa Cup???
Mwenzetu wee umeangalia mechi gani hiyo, kwani yanga kafungwa ugenini[emoji15] [emoji15]Aisee mmmh
Ss kati ya sisi na nyie nani ana afadhali
Hatujafungwa ugenini sisi
Nyie je
Na ndo chuki za kijinga tu sababu ni mpinzani wa Yanga
Mnasonga mbele!Mikia rudini nyumbani mjipange upya. Wakimataifa ni wakimataifa tu, tunasonga mbele kwenye shirikisho
Aggregates ni ngapi?? Yanga kafungwa.Mwenzetu wee umeangalia mechi gani hiyo, kwani yanga kafungwa ugenini[emoji15] [emoji15]
Naomba Mungu usiku na mchana wapangiwe Al Masry, nitaenda washangilia Al Masry kwa nguvu zote na nina uhakika yanga atakula za kutosha.Yanga watapangiwa al masry