MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

MISRI: Al Masry 0 - 0 Simba SC! Simba ametolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

March 17, 2018
Port Said, Egypt
Interview with Simba SC head coach French man Pierre Lechantre at the end of football match with Al-Masry in Port Said a moment ago

Source: ON sport
 
March 17, 2018
Port Said, Egypt
Interview with Simba SC head coach French man Pierre Lechantre at the end of football match with Al-Masry in Port Said a moment ago

Source: ON sport

His days at Matopeni FC are numbered.
Let him pray that Malalamiko FC wins VPL title this season. Otherwise...kwishney.
 
Aisee mmmh
Ss kati ya sisi na nyie nani ana afadhali
Hatujafungwa ugenini sisi
Nyie je
Na ndo chuki za kijinga tu sababu ni mpinzani wa Yanga
Mwenzetu wee umeangalia mechi gani hiyo, kwani yanga kafungwa ugenini[emoji15] [emoji15]
 
Siku zote biashara asubuhi..shughuli ilitakiwa iishe nyumbani..sasa kulikua na haja gani ya kupaki basi na walihitaji ushindi..? Yaani wao siku zote ni washiriki na sio washindani...huyu nae ooh bora nabaki shirikisho je hilo ndio lengo? Aargh! Bora tuendelee kukomaa na ligi za ulaya
 
Yanga watapangiwa al masry
Naomba Mungu usiku na mchana wapangiwe Al Masry, nitaenda washangilia Al Masry kwa nguvu zote na nina uhakika yanga atakula za kutosha.
Waarab jana wamelala na viatu kwao. Simba ni noma. Wametolewa sababu ya sheria za kipuuzi za soka.
 
Back
Top Bottom