Misri: Msanii wa kike aliyeonekana kwenye video ‘akila ndizi kwa mbwembwe’ akamatwa na polisi

Misri: Msanii wa kike aliyeonekana kwenye video ‘akila ndizi kwa mbwembwe’ akamatwa na polisi

Hiyo 69 alimaanisha anakunyonya gegedo na wew unanyonya parpuchi
 
Kwa hapa tz hio sheria labda kizazi cha 7 ndo inaeza Fanya kazi
 
Msanii wa kike wa muziki wa Pop nchini Misri ajulikanaye kwa jina la, Shyma amejikuta mikononi mwa polisi Jumamosi ya wikiendi iliyopita baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la ‘ I have Issues’ kwa kosa la kuonekana akila tunda aina ya ndizi kwenye video hiyo kwa mbwembwe mbele ya wanaume.


Moja ya kipande cha video hiyo kikimuonesha Shyma akila ndizi.

Mrembo huyo kwenye video hiyo ambayo ilipata views milioni 1.2 ndani ya masaa 14 kwenye mtandao wa YouTube alionekana akila ndizi kwa mbwembwe mbele ya wanafunzi wake huku akichora namba ‘#69’ ubaoni kitu ambacho kiliamsha hisia kali kwa wanaume nchini Misri.



Polisi wamesema wanamshikilia kwa kosa la kukiuka maadili ya dini ya kiislamu na tamaduni za nchi ya Misri huku wakidai kutaka kumuhoji kujua zaidi alimaanisha nini kufanya hivyo kwenye video hiyo.

Shyma ambaye jina lake kamili ni Shaimaa Ahmed baada ya kuona anashambuliwa na mashabiki wake mtandaoni aliamua kutolea maelezo kupitia ukurasa wake wa Facebook akieleza kuwa hakuwa na wazo kama watu walivyofikiria na kuomba radhi.



Leo Jumatano Polisi mjini Cairo wamesema watatoa taarifa rasmi baada ya kufanya nae mahojiano kwa siku mbili mfululizo (Jumatatu na Jumanne).

Mwaka 2015 Densa mmoja nchini humo alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na faini kwa kosa la kucheza akiwa amevaa nguo fupi huku akikatika viuno kwenye sakafu.

Tayari video hiyo imeshatolewa kwenye mtandao wa YouTube lakini hapa chini unaweza ukaangalia baadhi ya vipande ambavyo vimemuweka rumande msanii huyo kama vilivyofanyiwa uchambuzi na Waandishi wa Habari.
Utakulaje ndizi kwa mbwembwe wakati wenzio wanakufa kwa njaa..! Afungwe tu huyo..!
 
Kula ndizi sio shida baby shida ni style unavyo ila hiyo ndizi hususan mbele ya kadamnasi kama unaramba cone ndivyo ndizi iliwavyo??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sasa si kila mtu ana style yake ya kula teh
Walitaka ale kama anatafuna jiwe ha ha ha
 
Usisahau Hao wamisri bado ni. waafrika tuu, na akiliyao bado na e ya kuafrika
 
Mm ndizi napenda kuikata kata vipande ndo nakula cwez kushika nzma kula mbele wa watu
 
Usile ndizi huku unamwangalia mtu machoni, huo ni ukosefu wa adabu.
 
Back
Top Bottom