Misri na Ethiopia zipo katika hati hati ya kuingia vitani juu ya bwawa la kufua umeme linalojengwa na Ethiopia

Historia inaonesha Ethiopia hajawahi kushindwa vita, na ndio Taifa pekee ambalo halijawahi kutawaliwa na mkoloni.
Hiyo ilikuwa enzi za kina Kinjeketile Ngwale. Vita ya siku hizi si mchezo,Mkianza kupigana tu Urusi na Marekani wanaingia kati na kuinunua vita yenu biashara ya silaha inaanza.
 
Ethiopia atasimama.na wengi maana Misri anataka kujimilikisha mto nile kimabavu..hiv Tz tukiamua kuanzisha kilimo kikubwa cha umwagiliaji Shinyanga Geita na Tabora kiasi cha kuounguza kabisa maji yanayoelekea Misri na sisi tutavamiwa?
Misri huwa wanashangaza sana wanavyoiongelea Mto Nile na kuifanya yao pekee wakati chanzo kipo kwetu
 
Ethiopians wameapa iwapo Mmisri atabomoa huo mradi na wao watahakikisha wanajaza sumu kwenye maji
Hapo ndio mchezo utakuwa mtamu
Egypt kama atatumia ndege za kivita itabidi aombe anga la Sudan ili kumpiga Ethiopia
Na Sudan alikubali maana yake katangaza uhasama na Ethiopians
 
Nimetaja dini gani humu?
 
Hiyo ilikuwa enzi za kina Kinjeketile Ngwale. Vita ya siku hizi si mchezo,Mkianza kupigana tu Urusi na Marekani wanaingia kati na kuinunua vita yenu biashara ya silaha inaanza.
Mbona Kinjekite Ngwale na Mkwawa hawakushinda kama ilikuwa rahisi hivyo?
 
Tena inatakiwa waandae hiyo sumu mapema kabisa, tena ikae karibu na bwawa, wakivunja tu, yale mafuriko yaende Egypt yakiwa na DDT ya kutosha, ya kutosha yani.
 
wivu tu wa mijitu myeupe!! tena kwanza ethiopia wangempa salamu huyo mmisri za kumuwekea sumu kidoooogo mtoni Nile!!
 
Misri wajinga kabisa, lakaini Ethiopia akitumia hayo Maji si bado yataenda Misiri? Shida iko wapi?
Ethiopia ni wapuuzi na wabinafsi,wameambiwa wajaze bwawa kwa awamu hawataki sasa si bora kupiga bomu tuu Ili kutoathiri flow ya maji downstream
 
Trump aliwahi kusema mwaka jana kuwa Misri inao uwezo wa kulilipua bwawa hilo! Sasa kama Marekani yuko nyuma ya Misri, Israel itakuwa nyuma ya Ethiopia wakati ni swaiba wa Marekani?
 
Ethiopia ni wapuuzi na wabinafsi,wameambiwa wajaze bwawa kwa awamu hawataki sasa si bora kupiga bomu tuu Ili kutoathiri flow ya maji downstream
Brother unajua unachoongea? Huyo Misri nani amempa kuwa na mamlaka ya kuwatawala wengine katika ardhi zao? Yaani ingekuwa wewe ungekubali? Jirani yako akupangie jinsi ya kutumia rasilimali iliyopo nyumbani kwako?
 
Trump aliwahi kusema mwaka jana kuwa Misri inao uwezo wa kulilipua bwawa hilo! Sasa kama Marekani yuko nyuma ya Misri, Israel itakuwa nyuma ya Ethiopia wakati ni swaiba wa Marekani?
Marekani hawapo nyuma ya misri hata siku moja. kumbuka misri inapokea karibia BIL.5 kila mwaka kama msaada toka marekeni ili waache chokochoko kwa israel. na waliwapa hivyo baada ya misri kuonekana hataki kushindwa baada ya kupigwa kipigo cha mbwa mwizi. Israel ina connection kubwa sana na Ethiopia, kuipiga Ethiopia ni kuipiga israel na misri hata taka agombane na israel tena.
 
Hao waarabu walishaletaga mdomo kipindi cha maji kutoka Victoria kuja shinyanga ila wasengerema sana hao jamaa ziwa tutunze sisi magugu maji tutoe sisi leo waje watupangie hao hawaachi kwenda kuleta mamikataba yao ya kikoloni eti nyeeee nyeeee. .... mkoloni wakati tunataka maendeleo the inner finger maza Fanta.
 
Kiboko yao alikuwa Edward Lowassa, wenyewe wakaufyata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…