Misri na Jordan ndio walinzi wa Israel ili isifutike

Kuigawaje palestina Tena hakukua na nchi inayoitwa palestina Bali kulikua na jamii za warabu na waisrael

Kama kulikua na taifa la palestina ntajie wafalme angalau watano wa palestina waliotawala kabla ya 1947
Waarabu na wayahudi na sio waarabu na Waisrael,

Wayahudi wengi wanaofuata dini yao mpaka leo wapo upande wa palestina.

Zionist ndio waisrael
 

Kabla ya 1914-1918 na kwenderea mpaka sasa 2021 Palestina ilikuwepo, na ikiitwa hivyo hivyo palestina.. ..Israel haikuwepo.. ..



🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Ebu ntajie wafalme na Marais wa palestina waliokuwepo kabla ya 1947 sababu umesema Israeli ni walowezi wa kizungu waliowekwa pale
Swali gani hili unauliza Mkuu?? Kwani kabla ya 1961 kulikuwa na Taifa linaitwa Tanganyika???.
Hata viongozi waliokuwapo kabla ya hiyo 1961 walikuwa ni machifu wa kila kabila kulikuwa hamna chief / kiongozi wa wamakabila yote hivyo hivyo katika eneo hill la wapelesitina.
 
Mkuu vipi kuhusu yale mauaji ya Hitler alikuwa akiwaua wayahudi bandia
Ni uongo mtupu hamna wayahudi wanao fanana na wazungu,kama wayahudi wapo lazima watakuwa wanafanana na ndugu zao waarabu.
 
Mkuu vipi kuhusu yale mauaji ya Hitler alikuwa akiwaua wayahudi bandia
Hitler alikuwa anaangalia records sio sura. Kuna mambo hayaingii akilini mzee ni basi tu tunalazimishwa tukubali. Hivi mjaluo akisema yeye ni mzungu, utakubali? Elizabeth Warren aliposema yeye ni Red Indian hakuna aliemuamini Marekani na alilazimika kuomba msamaha lakini hawa jamaa wanapeta tu kuiba kwa kuiba asili za watu.

Wana vipimo vya DNA kuthibitisha wao ni wayahudi lakini vipimo hivyo hivyo kuna waafrika wamepimwa nao wameonekana ni wayahudi, bila shaka wakienda china pia wataonekana wayahudi. Kuna mtu humu amesema wamekuwa hivyo sababu walipekwa Ulaya na warumi( siamini hii habari) lakini kama hivyo ndivyo pia wasingebadilika sababu wasingeruhusiwa kuchangamana na watawala wao.

Wayahudi na waarabu wapo hilo eneo miaka nenda rudi lakini kutuambia wayahudi wenyewe ndio wakina Netanyahu ni kutufanya wapumbavu.

Wazungu wanapenda kuiba tamaduni nzuri na mambo mazuri ya jamii nyingine hivyo hii me sishangai.
 
Hiyo sarafu sijaisoma vizuri.Naona kama ni ya mwaka 1930.
Ndio ni ya mwaka 1930 na ipo mpaka nyingine ya mwaka 1927 yani hiyo sarafu ni kubwa ni kuliko taifa feki la waisrael, sasa huyu mleta uzi anadai palestina haikuwepo kabla ya kuja wayahudi na hoja yake anataka kujua kiongozi au wafalme waliokuwepo kabla ya huo mwaka 1947 ila mwisho wa yote kabisa, anakubali kwamba pale kulikuwepo waarabu tu wanaishi😃
 
Nilishakuambia shimon Peres amezaliwa mwaka 1923 alizaliwa Israel unasemaje hawakuwepo
 
Hiyo ya kupelekwa ulaya mbona kwenye historia ipo tatizo letu sis sio wasomaji wa vitabu vya historia wakina Karl max, Einstein, roschild wote hawa ni wayahudi walikulia ulaya
 
Hata mataifa yote ya kiarabu yainuke tena kama 1967, watapondwa vibaya mno. Nani anaweza kushindana na mkono wa Mungu aliye hai?.
 
Hiyo ya kupelekwa ulaya mbona kwenye historia ipo tatizo letu sis sio wasomaji wa vitabu vya historia wakina Karl max, Einstein, roschild wote hawa ni wayahudi walikulia ulaya
We unaamini kwamba walikamatwa mateka wa kivita kisha kupelekwa Rome kama watumwa baada kupata uhuru wakaanza kuwa wafanyabiashara? Dunia leo imestaarabika kidogo lakini mateka wa vita bado wanauwawa na kuteswa sasa hao waroma hio roho nzuri ya kuwapeleka gerezani Roma alafu kuwaacha huru wameitoa wapi? Yaani wawasafirishe umbali wote huo alafu wakawaache huru !!!

Asilimia kubwa ya stori za kuwaunganisha hawa wazungu na uyahudi ni za kusadikika tu, kila ninaposoma nakutana na maneno " inasemekana, inaaminika, au, labda".
 
Nilishakuambia shimon Peres amezaliwa mwaka 1923 alizaliwa Israel unasemaje hawakuwepo
Hata hapa bongo wapo waisrael waliozaliwa kabla ya uhuru, hata Germany wapo waisrael waliozaliwa huo mwaka so hoja yako haina mashiko, tunachojua sisi wale waliokotezwa baada ya kufukuzwa ulaya na kuletwa pale. Unakataa kuwa hakukuwa na taifa la palestina ila unakubali ya kuwa pale walikuwepo waarabu, sasa kwani we ktk akili yako unavyosikia taifa ni nini kama si hao waarabu unaowasema au unajua taifa labda ni miti
 
Hata mataifa yote ya kiarabu yainuke tena kama 1967, watapondwa vibaya mno. Nani anaweza kushindana na mkono wa Mungu aliye hai?.
Mkono wa mungu ulio hai ndo huu wa hawa wazungu akina Netanyahu waliodhinisha wanaume kwa wanaume wakanyagane au ?
 
Waliopelekwa kusaidia biashara na mambo ya uchumi kumbuka Jews wanasifa ya kuwa na akili hata Leo wayahudi hawafiki hata million 20 lakin Wana mabillionnaire wengi kuliko hata waarabu ambao wako million 300+

Unavyosema ni stori za kusadikika basi hata vita vya kwanza vya dunia ni stori za kusadikika sababu kitu usichokipenda kusikia unaita stori za kusadikika na mda huo huo unatumia kalender na vitu kibao vya wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…