Misri na Jordan ndio walinzi wa Israel ili isifutike

Sawa Haina mashiko, ntajie hao watawala wa palestina kwa majina kabla ya 1947 mbona unakwepa swali
 
Swala la ushoga liko kwa jamii zote usiwazingizie wazungu na unataka kuamisha mada kijanja
Pale kwenye taifa teule wameidhinisha kabisa yani ruksa kumuoa mwanaume mwenzio, sasa tangaza ndoa hapa bongo kwetu sie tusioteuliwa na mungu wa Israel ndoa na mwanaume mwenzio afu kama maji ujaita mma
 
Utaratibu upi huo,wakutawaliwa na watu wa nje kama Rumi,Ottoman na Muingereza?
 
Majibu yako yanatoka nje ya mada. Nimekujibu kwa kuangalia sababu ya wao kwenda Roma( chanzo changu wikipedia) na nimeona hiyo stori yao sio kweli kwa mazingira ya wakati huo. Wewe unanipinga kwa stori za vijiweni tu.

Nipe chanzo chako kinachosema walipelekwa Rome kusaidia uchumi. Kwanza hata hii hadithi yako ni ya kipuuzi pia sababu Roma ilikuwa imeendelea kuliko middle east kwa biashara, uchumi na sayansi. Pili tufanye walichukuliwa na Roma bila shaka walichukuliwa wasomi na wafanyabiashara wakubwa ambao kwa kawaida walikuwa wachache, sasa hao wasomi ndio wamezaliana hadi kufika idadi hii ya leo !!!
 
Hata mataifa yote ya kiarabu yainuke tena kama 1967, watapondwa vibaya mno. Nani anaweza kushindana na mkono wa Mungu aliye hai?.
Unazungumza ujinga mtupu. ikiwa Hamas peke yao wameilazimisha Israel kusitisha vita unasemaje habari za waarabu wote.
Safari hii nusura Uturuki ianze kurusha makombora na ni miongoni mwa sababu Marekani ilikwishanusa harufu mbaya kwa mwanawe.
Uturuki ina makombora zaidi ya yale ya Israel na yanaruka moja kwa moja mpaka Tel Aviv. Hakuna cha iron dome wala nini.Na hapo ni kabla ya kuzimwaga zile drone zake uwanjani ambazo zinaogopewa mpaka na waarusi na wamarekani.
Wewe unadhani kila siku ni Jumapili.
 
Nilishakuambia shimon Peres amezaliwa mwaka 1923 alizaliwa Israel unasemaje hawakuwepo
Umeambiwa huyo babu alizaliwa Urusi pengine na wazee ambao hata mizeituni hawakuwahi kuiona.
 
Umeambiwa huyo babu alizaliwa Urusi pengine na wazee ambao hata mizeituni hawakuwahi kuiona

Umeambiwa huyo babu alizaliwa Urusi pengine na wazee ambao hata mizeituni hawakuwahi kuiona.
Ni Ariel Sharon nilikua namchanganya na shimon Peres, Yitzhak Rabin wamezaliwa Israel

Point yako haiko valid yesse arafat kazaliwa misri ghafla anakuaje rais wa palestina kwa usishangae shimon Peres kuzaliwa belarus
 
We ndo hujui kitu hata nikikuambia mambo ya crusader utabisha, ukipata mda kasome kumbe napoteza mda hapa, waroma waliwachukua waisrael sababu walikua wanafanya nao biashara ningekutumia vitabu Ila nimehairisha sababu ntapoteza mda MB zangu bure
 
Pale kwenye taifa teule wameidhinisha kabisa yani ruksa kumuoa mwanaume mwenzio, sasa tangaza ndoa hapa bongo kwetu sie tusioteuliwa na mungu wa Israel ndoa na mwanaume mwenzio afu kama maji ujaita mma
Hujui maana ya taifa teule ndo tatizo lako kubwa kama hujui sema hueleweshwe
 
Hao waisraeli weusi huwa mnawatoa wapi🤔
 
Kabla ya hapo Palestina ilikuwa ikitawaliwa na watawala tofauti tofauti na si lazima waitwe wafalme au maraisi.Mara ya mwisho ilikuwa ni sehemu ya utawala wa kiislamu wa Ottoman ambao ulianzia nchi za kiarabu mpaka Ulaya na Asia.
Turkey,Greece,Bulgaria,Egypt,Hungary,Macedonia,Romania,Jordan ndio dola la Ottoman, Siria na palestina walikua ni kabila Ndogo zilizounganishwa baadae miaka 1500 kwani walikua ni kabila zinahamahama
 
The so called Israel inakaliwa na walowezi wa kizungu wanaojiita waisraeli
wa hiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba Waparestina ama Wafilisti kwa jina la kale ndiyo wana wa Israel hasa wa ukoo wa Ibrahim?
 
Turkey,Greece,Bulgaria,Egypt,Hungary,Macedonia,Romania,Jordan ndio dola la Ottoman, Siria na palestina walikua ni kabila Ndogo zilizounganishwa baadae miaka 1500 kwani walikua ni kabila zinahamahama
Kipindi chote hicho waarabu waliokuwa wanakaa Israel walikua hawana haja ya nchi ndo maana waliridhia kutawaliwa, Ila kabla ya 1947 mwingireza akaona sio fair kuunda taifa la Israel pekee, basi wale waarabu wakapewa maeneo ya westbank na Gaza ili waunde nchi ya palestina

Wale ni waarabu kutoka nchi tofauti tofauti kama misri, Jordan, Lebanon, Syria n.k ndo maana yesse arafat moja ya Marais wapalestina wamezaliwa misri
 
Wafilisti sio uzao wa ibrahimu,
Hata mimi ndiyo navyofahamu kwamba Wafilisti ndiyo waparestina !! ambao pia wamechanganyikana na uzao wa Ibrahim kwa mke mdogo!! ( Ukoo ma kizazi cha Ismail)

Naweza kusahihishwa kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…