Misri na Jordan ndio walinzi wa Israel ili isifutike

Ntajie basi wafalme wa nchi ya palestina
Mwezi Novemba 636 AD nchi ya Palestina iliyokuwa ikikaliwa na warumi chini ya makabila ya Byzantine ilikombolewa na khalifa wa pili wa waislamu baada ya kufariki Mtume s.a.w ambaye ni Omar Ibn Khattaab na ikarudi tena kuwa chini ya khalifa huyo na kuendelea baada yake chini ya tawala tofauti za kiislamu.
Kwa maana hiyo tumeona kuwa Omar ibn Alkhattab ni miongoni mwa watawala wa nchi hiyo ukipenda kumwita mfalme au raisi si neno.
 
Kwanza unajua neno palestina limetoka wapi, mtume na khalifa si wamezaliwa Saudi Arabia, Sasa Saudi Arabia na westbank wapi na wapi mbona unaleta vitu ambavyo sio relevant.

Hao wakina khalifa ni sawa nawakina ottoman, na waingireza yaan Khalifa ni mkoloni
 
Hueleweki unataka nini.Iliulizwa watawala wa Palestina kabla ya 1947. Ukiletewa majina na tarehe za mbali unahisi huna pa kutokea unabadili hoja.
 
Hueleweki unataka nini.Iliulizwa watawala wa Palestina kabla ya 1947. Ukiletewa majina na tarehe za mbali unahisi huna pa kutokea unabadili hoja.
Wale wametokea Saudi Arabia kwa point yako hata warumi na ottoman ni watawala wa palestina, ndo yale yale ya yesse arafat kazaliwa na kukulia misri lakin kaja kuwa rais wa palestina
 
Watu wengi hawajui wapalentina ni wahamiaji, na hata msikiti wanaogombania umejengwa juu ya Hekalu la Solomon, ambalo lilipigwa wakati Israel wamevamiwa na dola la kirumi.
 
Watu wengi hawajui wapalentina ni wahamiaji, na hata msikiti wanaogombania umejengwa juu ya Hekalu la Solomon, ambalo lilipigwa wakati Israel wamevamiwa na dola la kirumi.
Wewe ndio hujui. Kwani huyo Solomon na Ibrahim walikuwa dini gani.
 
Ndio fitna za Uiengereza hizo.
 
Hao wote damu Moja, hawawezi kukubali Palestina na vibaraka wao weusi wawagombanishe. Damu nzito kuliko maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…