Hahaha uchumi wa 69b GDP?Na nyinyi na Umasikini wenu unafikiri kuifikia Kenya Ni Ni miaka kumi kweli? Itawachukua zaidi ya miaka 100
Tanzania huwezi linganisha na Kenya kwa namna mnavyokung'utwa na mafisadiMnaandikishwa kupiga kura Cha nguvu huku upinzani ukikandamizwa kisiasa😁😁 Nchi ya viwonder mnachekesha....Yani Kuna Nchi inajenga mji moja tu sawia na uchumi wa Nchi yenu? Nyinyi Ni bure kabisa
Hahaha uchumi wa 69b GDP? View attachment 1231741
Nyinyi mnakungutwa na watu wa wasii wa Nchi yenu...madini hayo yote tangu enzi za Nyerere na bado mpo LDC SI mngekuwa ligi moja na SA Ila kwa Sasa nyie na DRC tofauti Ni jina Ila Hali ya uchumi Ni sawa tu. Afadhali sisi tunaliwa ndani kwa ndani na fedha hizo kumtumikia humu ndani. Zenu ninapakuliwa na kupelekwa nje ya Nchi na foreigners....Shamba la Bibi.Tanzania huwezi linganisha na Kenya kwa namna mnavyokung'utwa na mafisadi
Ninyi pamoja na English yote bado mnalambishwa mchanga kama kuku anavyochinjwa
View attachment 1231744
Takwimu za kupika hazitambuliki nje ya Danganyika Republic.Hii picha umekua ukiibeba mfukoni, weka taarifa za IMF, au uweke na link kabisa. IMF wameweka Kenya kwenye $99b
Halafu vipi, hampo ndani ya mataifa kumi yanayokua kiuchumi Afrika
Hahaha sante kwa kukiri wazi kwamba Kenya inatafunwa na watu wachache sana kuanzia kwenye pesa ya umma mpaka kwenye ardhi huku wananchi wakiishi kama mbwa wa jalalaniNyinyi mnakungutwa na watu wa wasii wa Nchi yenu...madini hayo yote tangu enzi za Nyerere na bado mpo LDC SI mngekuwa ligi moja na SA Ila kwa Sasa nyie na DRC tofauti Ni jina Ila Hali ya uchumi Ni sawa tu. Afadhali sisi tunaliwa ndani kwa ndani na fedha hizo kumtumikia humu ndani. Zenu ninapakuliwa na kupelekwa nje ya Nchi na foreigners....Shamba la Bibi.
Ukweli mchungu ambao haujapikwa 👇👇👇👇Hii picha umekua ukiibeba mfukoni, weka taarifa za IMF, au uweke na link kabisa. IMF wameweka Kenya kwenye $99b
Halafu vipi, hampo ndani ya mataifa kumi yanayokua kiuchumi Afrika
Wewe jamaa ni kuku mnene wa mayai.Mnaandikishwa kupiga kura Cha nguvu huku upinzani ukikandamizwa kisiasa[emoji16][emoji16] Nchi ya viwonder mnachekesha....Yani Kuna Nchi inajenga mji moja tu sawia na uchumi wa Nchi yenu? Nyinyi Ni bure kabisa
Sawa na uchumi wenu Mara mbili.Wewe jamaa ni kuku mnene wa mayai.
Kama egypt inafanya haya,umeshajiuliza SA ikiamua ifanye itafanya kwa pesa sawa na uchumi upi???
Nikukurupuka tu nayeye aonekane amepostSijui alishaona wapi mji unajengwa siku moja, Dubai na Qatar pamoja na mapesa yote ya mafuta na gas lakini satellite cities zao wamejenga kwa makumi ya miaka, itakua Egypt ijenge kwa mpigo!
Picha yako bado ninayo....Niiweke hapa tuijadili...??Na nyinyi na Umasikini wenu unafikiri kuifikia Kenya Ni Ni miaka kumi kweli? Itawachukua zaidi ya miaka 100
Weka haraka sana kwani unapiga punyeto nayo?Picha yako bado ninayo....Niiweke hapa tuijadili...??
Kuna somebody kule jukwaa la siasa ameanzisha thread ya kumlaumu bulldozer kwa takwimu za uongo wakati kila credible source inaonesha the country is sinking economicallyHii picha umekua ukiibeba mfukoni, weka taarifa za IMF, au uweke na link kabisa. IMF wameweka Kenya kwenye $99b
Halafu vipi, hampo ndani ya mataifa kumi yanayokua kiuchumi Afrika
Kuna somebody kule jukwaa la siasa ameanzisha thread ya kumlaumu bulldozer kwa takwimu za uongo wakati kila credible source inaonesha the country is sinking economically
For the first time over the last decade Tzn is out of leading countries in economic growth in africa.haijawahi tokea hii but the gvt is lying to her people that they are on right track while the wananchi are starving
Njoo Tanzania na dar baada ya mwaka ujao kama ujapoteaHao ni waficha maradhi.