Misri sio wenzetu, wako mbali sana, wana mradi ambao utagharimu hela kiasi cha uchumi wa muungano wa Tanzania yote

Misri sio wenzetu, wako mbali sana, wana mradi ambao utagharimu hela kiasi cha uchumi wa muungano wa Tanzania yote

Na nyinyi na Umasikini wenu unafikiri kuifikia Kenya Ni Ni miaka kumi kweli? Itawachukua zaidi ya miaka 100
Hahaha uchumi wa 69b GDP?
20190615_190509png.png
 
Mnaandikishwa kupiga kura Cha nguvu huku upinzani ukikandamizwa kisiasa😁😁 Nchi ya viwonder mnachekesha....Yani Kuna Nchi inajenga mji moja tu sawia na uchumi wa Nchi yenu? Nyinyi Ni bure kabisa
Tanzania huwezi linganisha na Kenya kwa namna mnavyokung'utwa na mafisadi

Ninyi pamoja na English yote bado mnalambishwa mchanga kama kuku anavyochinjwa
EGhOaB9XUAUAGht.jpeg
 
Tanzania huwezi linganisha na Kenya kwa namna mnavyokung'utwa na mafisadi

Ninyi pamoja na English yote bado mnalambishwa mchanga kama kuku anavyochinjwa
View attachment 1231744
Nyinyi mnakungutwa na watu wa wasii wa Nchi yenu...madini hayo yote tangu enzi za Nyerere na bado mpo LDC SI mngekuwa ligi moja na SA Ila kwa Sasa nyie na DRC tofauti Ni jina Ila Hali ya uchumi Ni sawa tu. Afadhali sisi tunaliwa ndani kwa ndani na fedha hizo kumtumikia humu ndani. Zenu ninapakuliwa na kupelekwa nje ya Nchi na foreigners....Shamba la Bibi.
 
Hahaha sante kwa kukiri wazi kwamba Kenya inatafunwa na watu wachache sana kuanzia kwenye pesa ya umma mpaka kwenye ardhi huku wananchi wakiishi kama mbwa wa jalalani

Sasa wale wanaokufa njaa Kibra, Mathare, Huruma, Kariobangi, Korogocho, you name them... Ni lini neema ya mafisadi itawashukia? Sababu wameshakung'utwa mnooo 😂
 
Mnaandikishwa kupiga kura Cha nguvu huku upinzani ukikandamizwa kisiasa[emoji16][emoji16] Nchi ya viwonder mnachekesha....Yani Kuna Nchi inajenga mji moja tu sawia na uchumi wa Nchi yenu? Nyinyi Ni bure kabisa
Wewe jamaa ni kuku mnene wa mayai.

Kama egypt inafanya haya,umeshajiuliza SA ikiamua ifanye itafanya kwa pesa sawa na uchumi upi???
 
Sijui alishaona wapi mji unajengwa siku moja, Dubai na Qatar pamoja na mapesa yote ya mafuta na gas lakini satellite cities zao wamejenga kwa makumi ya miaka, itakua Egypt ijenge kwa mpigo!
Nikukurupuka tu nayeye aonekane amepost
 
Hii picha umekua ukiibeba mfukoni, weka taarifa za IMF, au uweke na link kabisa. IMF wameweka Kenya kwenye $99b

Halafu vipi, hampo ndani ya mataifa kumi yanayokua kiuchumi Afrika

2180871_3AD9503B-F8FE-4C83-87F1-F03A0AAF3AA6.jpeg
Kuna somebody kule jukwaa la siasa ameanzisha thread ya kumlaumu bulldozer kwa takwimu za uongo wakati kila credible source inaonesha the country is sinking economically
For the first time over the last decade Tzn is out of leading countries in economic growth in africa.haijawahi tokea hii but the gvt is lying to her people that they are on right track while the wananchi are starving
 
Hao ni waficha maradhi.
 
Back
Top Bottom