MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Wakuu nimestaajabishwa na hili: Wakati sisi kwetu tunajengewa Bwawa na Umeme wa Teknolojia ya juu, Wamisri wamempa tenda Mchina kuwajengea Jengo na Mnara utakaokuwa mrefu kuliko yote Afrika. Nilidhani kwa hili la Umeme, ingetosha kwa wao kujenga minara na majengo. Kweli Mungu hampi mtu kila kitu