MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
HahahAhsante kwa kutujazia server
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahsante kwa kutujazia server
Dizaina(architecture) wa uwanja wao mkubwa wa ndege wa nchini China ni Mwarabu(Mu iraki) marehemu Zaha hadidi, kwa nini wachina hawakudizaini wenyewe?Mbona hata huyo mchina kuna kipindi alijengewa reli ya kisasa na mjerumani tens juzi tu hapa
Hauko sawa mkuu..Wakuu nimestaajabishwa na hili: Wakati sisi kwetu tunajengewa Bwawa na Umeme wa Teknolojia ya juu, Wamisri wamempa tenda Mchina kuwajengea Jengo na Mnara utakaokuwa mrefu kuliko yote Afrika. Nilidhani kwa hili la Umeme, ingetosha kwa wao kujenga minara na majengo. Kweli Mungu hampi mtu kila kitu
China mwenyewe na ujanja wake hawezi tengeneza ndege za abiria na ndio mteja mkubwa wa Boeing za USAWakuu nimestaajabishwa na hili: Wakati sisi kwetu tunajengewa Bwawa na Umeme wa Teknolojia ya juu, Wamisri wamempa tenda Mchina kuwajengea Jengo na Mnara utakaokuwa mrefu kuliko yote Afrika. Nilidhani kwa hili la Umeme, ingetosha kwa wao kujenga minara na majengo. Kweli Mungu hampi mtu kila kitu
Wakuu nimestaajabishwa na hili: Wakati sisi kwetu tunajengewa Bwawa na Umeme wa Teknolojia ya juu, Wamisri wamempa tenda Mchina kuwajengea Jengo na Mnara utakaokuwa mrefu kuliko yote Afrika. Nilidhani kwa hili la Umeme, ingetosha kwa wao kujenga minara na majengo. Kweli Mungu hampi mtu kila kitu