Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

Los santos

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1,167
Reaction score
2,591
#HABARI Uamuzi wa Wizara ya Elimu nchini Misri kutangaza marufuku ya kuvaa vazi la uso (Niqab) katika shule za serikali na binafsi umezua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na kushutumiwa vikali huku uamuzi huo ukitajwa kuingilia masuala binafsi.

Wengi ambao hawakubaliani na marufuku hiyo wanadai serikali haikutoa uhalali wowote na kwamba ni wachache tu wenye itikadi kali ambao wataathirika na uamuzi huo.

Uamuzi huo ulitangazwa katika gazeti la serikali la Akhbar al-Youm na unajumuisha Niqab ambalo ni vazi jeusi la kiisalmu ambalo huacha tu sehemu ya macho kuonekana na huvaliwa na wanawake wachache nchini Misri.

=====

Egypt's Ministry of Education has banned the wearing of full-face veils in public and public schools, a decision that sparked debate on Tuesday on social networks in the country's most populous Arab country.

On Monday, the government newspaper Akhbar al-Youm published the new decree on school uniforms, which bans primary and secondary school pupils from "covering their faces".

The decree states that the headscarf is "optional", depending on "the wishes of the pupil, without pressure or coercion from anyone other than the legal guardian, who must be informed of this choice".

While the majority of Egyptian women wear the headscarf, the niqab remains in the minority in this overwhelmingly Muslim country.

"People are angry because the government has given no justification, it's a tyrannical decision that invades privacy", Mohammed reacted on X (ex-Twitter).

"No one is angry except supporters of the Taliban and the Islamic State (EI)," retorted al-Masri on the same network.

Ahmed Moussa, a talk-show host and fervent supporter of Abdel Fattah al-Sissi's regime, hailed "an important first step towards destroying extremism and correcting the situation in education, which has become a hideout for Muslim Brotherhood terrorist groups".

Since Mr Sissi deposed President Mohamed Morsi - a member of the Muslim Brotherhood - in 2013, the Brotherhood, which has been declared a "terrorist" organisation, has been banned and its members and leaders have been killed in their hundreds and imprisoned in their thousands.

For Internet users, however, the problem of education in a country of 105 million inhabitants crushed by inflation and public debt lies elsewhere."Is the niqab responsible for overcrowded classrooms, dilapidated equipment and teachers' difficulties?" asked another user ironically.

At the end of 2015, Cairo University, one of Egypt's oldest and most prestigious universities, banned its female lecturers from wearing the niqab, a decision upheld in 2020 by a Cairo administrative court.

The strictest form of the Islamic veil, the niqab is generally black, revealing only the eyes through a slit.
 
What's the reason behind this?
Kama ni usalama labda maana Egypt matukio yao sio ya kawaida
Anwar Sadat mwaka 1981 aliuwawa na mjeda
Lakini kama ni sababu zingine za kisiasa basi ni kosa kuingilia
Al Sisi ni myahudi sasa sijui kutatokea nini
 
Alone FaizaFoxy kwenye jalada
 
kwa nini nyie waislam hampendi waislam wenzenu wavae vazi hilo? Wenyewe wanaona wanapaswa kuvaa vile kulinda maadili yao ya kidini katika imani yao
Hawqajakatazwa kuvaa wameambiwa shule wasiingie hivyo, sasa si unampa kazi Mwalimu kujuwa huyu nani yule nani. Fikiri kidogo.

Uislam haujazuwia wala haujashadadia kuvaa niqab, kama occasion inaruhusu wavae, lakini shule Misri wameambiwa hapana. Wavae nje ya shule.

Mradi hawajakataza hijab silioni tatizo.

Halafu mnaolishikia bango hili ni wale ambao siyo Waislam nyinyi mnaupenda sana Uislam si msilimu tu. Kwanini mnajiumiza roho zenu bila sababu?
 
Hawqajakatawa kuvaa wameambiwa shule wasiingi hivyo, sasa si unampa kazi Mwalimu kujuwa huyu nani yule nani. Fikiri kidogo.

Uislam haujazuwia wala haujashadadia kuvaa niqab, kama occasion inaruhusu wavae, lakini shule Misri wameambiwa hapana. Wavae nje ya shule.

Mradi hawajakataza hijab silioni tatizo.

Halafu mnaolishikia bango hili ni wale ambao siyo Waislam nyinyi mnaupenda sana Uislam si msilimu tu. Kwanini mnajiumiza roho zenu bila sababu?
Bibi niachie mjukuu wako na mimi nisilimu
 
Back
Top Bottom