FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nikuwachie kwani nimekushika wapi? Hata sasa hivi silimu.Bibi niachie mjukuu wako na mimi nisilimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuwachie kwani nimekushika wapi? Hata sasa hivi silimu.Bibi niachie mjukuu wako na mimi nisilimu
Nani akupige vita ndugu hilo taifa 90% ni Islam 10% waliobaki ndiyo wanagawana hizo 10% zilizobaki unadhani waliokataa ni dini gani hapo?Uislamu unapigwa vita sana lakini hawatashinda
Canada wamekuchakachuaHawqajakatawa kuvaa wameambiwa shule wasiingi hivyo, sasa si unampa kazi Mwalimu kujuwa huyu nani yule nani. Fikiri kidogo.
Uislam haujazuwia wala haujashadadia kuvaa niqab, kama occasion inaruhusu wavae, lakini shule Misri wameambiwa hapana. Wavae nje ya shule.
Mradi hawajakataza hijab silioni tatizo.
Halafu mnaolishikia bango hili ni wale ambao siyo Waislam nyinyi mnaupenda sana Uislam si msilimu tu. Kwanini mnajiumiza roho zenu bila sababu?
Unamaanisha nini? Sijakuelewa.Canada wamekuchakachua
Kuishi katikati ya jamii inayowaza ujinga kama hivi unaweza ukaona kama ni laana.Kwa hiyo serikali ya Misri inapiga vita uislam, poor you...
Naomba picha yake ,inishawishiNikuwachie kwani nimekushika wapi? Hata sasa hivi silimu.
Fanya heshima na uzi wa watu.Naomba picha yake ,inishawishi
Kusilimu ni heshima ,ndio maana ukaandikaFanya heshima na uzi wa watu.
Inatakiwa hijabu hilo ya uso mzima ni maamuzi ya mtu hata sanamu la maria limevaa hiyo hijabu.kwa nini nyie waislam hampendi waislam wenzenu wavae vazi hilo? Wenyewe wanaona wanapaswa kuvaa vile kulinda maadili yao ya kidini katika imani yao
Wewe ndio mjinga namba ,vazi la kujifunika uso mzima sio hijabu ni vitu viwli tofauti ma wanachofanya hapo ni kuepuka watu wanaotukia vibaya.Kuishi katikati ya jamii inayowaza ujinga kama hivi unaweza ukaona kama ni laana.
Misri 90 percent ni waislam na wameamua waliyoamua iwe kwa ubaya au kwa uzuri (ni kwa maoni yao)lakini mpumbavu mmoja mweusi kama mkaa yupo hapo Kibiti anakuja na hoja mfu kama hii,anadhani ana kitu cha kuitisha dunia.
Hopeless kabisa
Acha nikose tu akili kama serikali ya nchi fulani,kwa matakwa yao,kwa utashi wao na kwa kutumia muda wao na kulipana seat allowance kwa pesa zao waamue wanayoyajua wao then mimi huku bara la giza nione kama wanapiga vita sijui imani sijui ujinga gani!!!Wewe ndio mjinga namba ,vazi la kujifunika uso mzima sio hijabu ni vitu viwli tofauti ma wanachofanya hapo ni kuepuka watu wanaotukia vibaya.
Wapo wakristo wanavaa na kufanya ujambazi ,mauaji hata uwizi hata waislamu pia wanvaa wengine sio kama kinga ya kujistri ila wanafanya ujinga ..
Hwajazuia hijab ni vazi hilo ,kuwa na akili kwamba watu waruhusiwe kuvaa nusu uchi kabisa na wewe unakubali.?
Una makasiriko tafuta pesa mambo ya serikali hayakuhusu hapa..Acha nikose tu akili kama serikali ya nchi fulani,kwa matakwa yao,kwa utashi wao na kwa kutumia muda wao na kulipana seat allowance kwa pesa zao waamue wanayoyajua wao then mimi huku bara la giza nione kama wanapiga vita sijui imani sijui ujinga gani!!!
Siku nikiwa na akili hizi hata wewe nione mjinga but kama leo Tanzania hii yupo mtu anapinga maamuzi ya nchi fulani akiyachukulia kama ni vita kwa dini yake huyo/hao nasisitiza ni laana kuishi nao sehemu moja
Pesa natafuta siyo mpaka wewe uniambie asili yangu ni wale wanaoona hela ndiyo kila kitu so aut'cally kuitafuta ni jukumu langu.Una makasiriko tafuta pesa mambo ya serikali hayakuhusu hapa..
Pia maoni yako yapo nje ya mada 😂😂tafute pesa kufuatilia mambo ya serikali ni kupoteza mda,wote ni wezi na hiyo ndip siasa .
Msinge shupaa kwa kusema ni mzanzibar wakati mda huo ni raisi wa nchi ,msingesema kwambq TEC ndio mweny maamuzi makubwa ya nchi .
Sijawahi kufuatlia watu na sina time na watu ,hayo ni maslahi yao wewe na familia yako pambana.Pesa natafuta siyo mpaka wewe uniambie asili yangu ni wale wanaoona hela ndiyo kila kitu so aut'cally kuitafuta ni jukumu langu.
Mimi nakupa facts hata wewe kama una mishe hizo za kuamini maamuzi ya watu yanapiga vita imani yako acha una mambo mengi sana ya kufanya kwenye hii nchi yako iliyojaa tabu kuliko hao watu
Saint Anno II hebu tulia kidogo na umsome tena mwenye hili bandiko hapo juu.Kwa hiyo serikali ya Misri inapiga vita uislam, poor you...
Wewe ni Kafiri, unapinga Niqab?Hakuna tatizo, mradi hawajakataza hijab.
Niqab hata mimi sivai. Sasa mask ya nini na hakuna corona?
Sasa tusikusikie ukipiga kelele Ufaransa inapojiamulia kukataza Abaya mashuleni.Hawqajakatawa kuvaa wameambiwa shule wasiingi hivyo, sasa si unampa kazi Mwalimu kujuwa huyu nani yule nani. Fikiri kidogo.
Uislam haujazuwia wala haujashadadia kuvaa niqab, kama occasion inaruhusu wavae, lakini shule Misri wameambiwa hapana. Wavae nje ya shule.
Mradi hawajakataza hijab silioni tatizo.
Halafu mnaolishikia bango hili ni wale ambao siyo Waislam nyinyi mnaupenda sana Uislam si msilimu tu. Kwanini mnajiumiza roho zenu bila sababu?
Na wewe ni nani?Wewe ni Kafiri, unapinga Niqab?
Subiri kobazi wenzako waje wakuvamie.