Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

Kwa hiyo serikali ya Misri inapiga vita uislam, poor you...
Tatizo lenu hamjui na hamjui kama hamjui

Kihistoria Serikal zote za Misri kasoro ya Mohmed Mursi zimekuwa adui mkubwa sana wa Uislam na wamekuwa wanaua wasomi wa Kiislam miaka na miaka

akina Said Kutubi wameuawa na Serikali ya Misri tangu dahri na dahri

Nyerere aliwakosea sana kuwafungia ndani ya Nchi wazazi wenu ndio sababu hata Vizazi vyao vimekuwa bongo lala
 
Niqab sio vazi la kiislamu.

Uislamu umesema uso na viganja vya mikono viwe wazi.

Niqab ni vazi la waarabu wa jangwani ili kuzuia vumbi kali kuingia usoni.
Sasa kam Niqab sio vazi la Kiislam zile kelele na maandamano kwa Ufaransa walipopiga marufuku Niqab zilikuwa za nini?
 
hawatashinda kitu gani wakati uislam unapukutika kama majani ya kiangazi. Kila kona unapukutishwa kwa amani tu kwa kuingiziwa tamaduni za magharibi. Unajaziwa vitu vizuri kama chambo umalizwe
kasome tafiti za kimataifa ujue ni gani inakuwa kwa haraka zaid ndani ya miaka hii 30 ya sasa?

kwa kukusaidia tu Uislam ndio dini inayokuwa kwa haraka zaid baada ya maendeleo kwny technology ya habari na mawasiliano inayowawezesha watu sasa kusoma na kuujua uislam

zamani iliwalazimu kuangalia life style ya Waarabu na ku make conclusion lakini siku hizi watu wanasoma Islamic teachings zenyewe na ndio sababu rate ya kusambaa imekuwa kubwa zaid Duniani kuliko Dini yeyote ile
 
kwa nini nyie waislam hampendi waislam wenzenu wavae vazi hilo? Wenyewe wanaona wanapaswa kuvaa vile kulinda maadili yao ya kidini katika imani yao
Inazuia ufundishaji! Interactive environment ni muhimu katika ufundishaji !
 
kasome tafiti za kimataifa ujue ni gani inakuwa kwa haraka zaid ndani ya miaka hii 30 ya sasa?

kwa kukusaidia tu Uislam ndio dini inayokuwa kwa haraka zaid baada ya maendeleo kwny technology ya habari na mawasiliano inayowawezesha watu sasa kusoma na kuujua uislam

zamani iliwalazimu kuangalia life style ya Waarabu na ku make conclusion lakini siku hizi watu wanasoma Islamic teachings zenyewe na ndio sababu rate ya kusambaa imekuwa kubwa zaid Duniani kuliko Dini yeyote ile
Umesema Uislam ni dini inayokuwa kuliko zote... huwa mnaishia hapo tu, hampendagi kumalizia kwa kutaja kuwa ni dini gani Kubwa kuliko zote kwa karne na karne.

Sasa hebu malizia hii habari.

Ni Dini gani Kubwa kuliko zote hapa Duniani?
 
Wewe ukiulizwa Nchi gani Afrika Mashariki na kati uchumi wake unakuwa kwa kasi utasema Congo ndio Nchi yenye misitu mingi zaid kwny eneo hilo?

Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Wewe ukiulizwa Nchi gani Afrika Mashariki na kati uchumi wake unakuwa kwa kasi utasema Congo ndio Nchi yenye misitu mingi zaid kwny eneo hilo?

Shule ulienda kusomea ujinga?
Swali langu ni rahisi sana, usilikwepe.

Narudia tena kukuuliza.

Ni dini gani ni KUBWA kuliko zote hapa Duniani?
 
Swali langu ni rahisi sana, usilikwepe.

Narudia tena kukuuliza.

Ni dini gani ni KUBWA kuliko zote hapa Duniani?
Hoja niliyokuwa naijibu ni kuwa Uislam unapukutika nikajibu leteni takwimu za dini inayokuwa kwa kasi zaid ili tuthibitishe hizo hoja za kuwa unapukutika pengine Jamaa alieleta hiyo hoja kashindwa jibu, wewe msaidie kwanza halafu ndio tunakuja kwny hoja yako na majibu yapo tena evidence based. karibu

kwa kuongezea tu maeneo yote ambayo watu wameelimika vya kutosha basi rate ya jamii hiyo kujiunga kwny Uislam ni kubwa na maeneo ambayo watu bado wajinga wajinga watu wa kukariri basi rate yake si kubwa kama maeneo ambayo watu wamepata elimu
 
Kama israel wamekataa ukristo kwa nn usiumie!?😂😂😂

yaani taifa mnaloita takatifu mpaka bender zake mmeweka kanisani leo linakataa na wala halina wakristo wengi na bible wanasema ni utapeli 😂.
Acha Uongo Israel haijakataa Ukiristo; Israel ni democracy dini yeyote inaruhusiwa. Hata Misikiti ipo Hadi Tel Aviv. Ila Kuna dini ya Mayahudi ambayo wao wanaamini Messiah Bado hajaja. Hivyo hawaamini kuwa Yesu ndiyo Messiah. Kwa mkiristo anaona ni Bora wayahudi kuliko nyinyi SUNNI kwa sababu mna historia ya kufuta evidence za Imani nyingine mkipewa Mamlaka. Mmefanya hivyo Iraq (ISIS), AFGHANISTAN na UTURUKI. Hata pale Jerusalem mlipopata tu mwanya mlifuta historia ya Hekalu la Daudi kwenye Dome of the Rock.
 
Hoja niliyokuwa naijibu ni kuwa Uislam unapukutika nikajibu leteni takwimu za dini inayokuwa kwa kasi zaid ili tuthibitishe hizo hoja za kuwa unapukutika pengine Jamaa alieleta hiyo hoja kashindwa jibu, wewe msaidie kwanza halafu ndio tunakuja kwny hoja yako na majibu yapo tena evidence based. karibu
Hakuna aliyekubishia kuwa Uislam unakuwa kwa kasi.

Nimekutaka Umalizie Story yako ya takwimu kwa kusema pia kuwa ni Dini gani NI KUBWA KULIKO ZOTE...Kitu ambacho huwa mnakiruka na hamtakagi kukisema kabisa.

Hata hapa Unakwepa kusema...huwa mnaishiaga nusu, hamtakagi kabisa kumalizia hii takwimu.
 
Kama waliweza kupenyeza kombe la dunia Qatar basi hakuna kitakacho washinda

Na hata timu za taifa za wanawake waislamu wanapiga gozi la ng’ombe uwanjani na vichupi bila hijabu, kudadadeki! Kama umevaa hijabu hizo siyo jezi za mpira na wenyewe waislam wameufyata mkia!
 
Acha Uongo Israel haijakataa Ukiristo; Israel ni democracy dini yeyote inaruhusiwa. Hata Misikiti ipo Hadi Tel Aviv. Ila Kuna dini ya Mayahudi ambayo wao wanaamini Messiah Bado hajaja. Hivyo hawaamini kuwa Yesu ndiyo Messiah. Kwa mkiristo anaona ni Bora wayahudi kuliko nyinyi SUNNI kwa sababu mna historia ya kufuta evidence za Imani nyingine mkipewa Mamlaka. Mmefanya hivyo Iraq (ISIS), AFGHANISTAN na UTURUKI. Hata pale Jerusalem mlipopata tu mwanya mlifuta historia ya Hekalu la Daudi kwenye Dome of the Rock.
Wewe unazungumzia kufuta alama tu?
Adolf Hiltle akishirikiana na wakatoliki wa Vatican 1939-1945 alikusudia na akaanza kutekeleza Azma ya kufuta kabisa kizazi cha Wayahudi sio tu alama zao
 
Wanaovaa ni utaratibu sio lazima labda hijabu kumbuka hata viroba vilivyopigwa marufuku watu walipiga kelele[emoji23][emoji23]

Kitu kibaya dada ako au mother wako anavaa kama kahaba [emoji23][emoji23]then unaona sawa ila rohoni inakuuma sana kwa nn waislamu wanavaa vizuri!?

Hatufanani na manaswara na wala hatufuati mila zao.

Mbona kwenye mpira tunawakuta wamebaki vichupi vitupu, kwa nini wasivae hijabu au Niqar?
 
Acha Uongo Israel haijakataa Ukiristo; Israel ni democracy dini yeyote inaruhusiwa. Hata Misikiti ipo Hadi Tel Aviv. Ila Kuna dini ya Mayahudi ambayo wao wanaamini Messiah Bado hajaja. Hivyo hawaamini kuwa Yesu ndiyo Messiah. Kwa mkiristo anaona ni Bora wayahudi kuliko nyinyi SUNNI kwa sababu mna historia ya kufuta evidence za Imani nyingine mkipewa Mamlaka. Mmefanya hivyo Iraq (ISIS), AFGHANISTAN na UTURUKI. Hata pale Jerusalem mlipopata tu mwanya mlifuta historia ya Hekalu la Daudi kwenye Dome of the Rock.
Unaandika historia za porojo kama ulikuwa kijijini basi kusambaza ukristo huko israel ni keso unakwenda jela kama hujui.

Na historia unaleta hapa ni porojo za uongo.
 
Mbona kwenye mpira tunawakuta wamebaki vichupi vitupu, kwa nini wasivae hijabu au Niqar?
Wapi wanacheza mpira? Kila mmisri au muarabu ni muislamu?

Jamaa mshamba wa wapi wewe?😂😂anyefuata amri za uislamu ndio muislamu ..

Kaangalie hata africa yupo anavaa hijabu yule ni muislamu.
 
What's the reason behind this?
Kama ni usalama labda maana Egypt matukio yao sio ya kawaida
Anwar Sadat mwaka 1981 aliuwawa na mjeda
Lakini kama ni sababu zingine za kisiasa basi ni kosa kuingilia
Al Sisi ni myahudi sasa sijui kutatokea nini
Acha Uongo Abdel Fattah el-Sisi, siyo Myahudi. Kwanini nyinyi watu mnapendaga kuzusha Uongo, ndivyo dini yenu imewafunza?
Ona hili bandiko
Screenshot_20230914-223953.png
 
Wapi tumesema wamisri ni makafir[emoji23][emoji23]

Yaani umkute mama ako kavaa kama wale makahaba wa Riverside [emoji23][emoji23]na anaenda kanisani..
Roho inauma sana kuona mapaja na mama ako na dada ako [emoji23]..

Kwa hiyo wewe unawaza mapaja tu! Wewe kijana inaonekana kwa chini ni moto sana!
 
Back
Top Bottom