FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sasa wanaiita Niqab kama ni Sunna ya Mtume na haina ulazima wa kuivaa kichwani.
Unaonesha huielewi niqab, niqab ni ile uliyoivaa wakati wa corona ukipenda usipende, haivaliwi kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wanaiita Niqab kama ni Sunna ya Mtume na haina ulazima wa kuivaa kichwani.
Una aya ya Qurani ya kulazimisha kuvaa hijabu?Unaonesha huielewi niqab, niqab ni ile uliyoivaa wakati wa corona ukipenda usipende, haivaliwi kichwani.
Waulize sasa Hijabu sio Sunna ?
Kwahiyo Shela ndio Hijabu ?Hijab siyo sunna ni faradhi kwa wanawake na wanaume, hata kwenye biblia ipo. Soma:
65 Akamwambia mtumishi, Ni nani mtu huyu ajaye kondeni kutulaki? Mtumishi akasema, Huyu ndiye bwana wangu. Basi akatwaa shela yake akajifunika.
Hiyo ndiyo hijab kama lugha ilikuwa inakupiga chenga.
Uislam haulazimishi mtu kitu. Uislam unakufundisha mafundisho mema tu.Una aya ya Qurani ya kulazimisha kuvaa hijabu?
Iweke hapa tuendelee kuongea.
Dini ya kinafki sijawahi kuona.
Hiyo Aya ya 65 inapatikana kwenye Sura gani ya kitabu gani ?Uislam haulazimishi mtu kitu. Uislam unakufundisha mafundisho mema tu.
Qur'an 2:256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256
Kumbe hata biblia yako huijuwi. Naam shela ni hijab, hijab ni neno la Kiarabu linalomaanisha stara.Hiyo Aya ya 65 inapatikana kwenye Sura gani ya kitabu gani ?
Leo hijabu imekuwa Shela...!
Si bora ingekuwa niqabu.
Au hujui kuwa Shela ni gauni la harusi?
Uwongo wenu unaendelea kuwaumbua.
Biblia Mwanzo 24:65Hiyo Aya ya 65 inapatikana kwenye Sura gani ya kitabu gani ?
Leo hijabu imekuwa Shela...!
Si bora ingekuwa niqabu.
Au hujui kuwa Shela ni gauni la harusi?
Uwongo wenu unaendelea kuwaumbua.
Nenda kaendelee kuwaongopea wa Msikitini.
Nipe aya ya Qurani inayozungumzia Hijabu au Niqabu.Kumbe hata biblia yako huijuwi. Naam shela ni hijab, hijab ni neno la Kiarabu linalomaanisha stara.
Shela haisitiri?
Uislam ni mwema sana.
Hijab kwa Waislam ni kwa wote, wake kwa waume:Nipe aya ya Qurani inayozungumzia Hijabu au Niqabu.
La nenda kawaongopee wa Msikitini.
Kawaongopee habari za Sunna za Mtume.
Mnatufanyia vurugu za utapeli wa Sunna za mtu binafsi.
Allah kaziongelea wapi hizo Sunna zenu?
Hapo ndipo pana Hijabu na Niqabu kumbe enhee....!Hijab kwa Waislam ni kwa wote, wake kwa waume:
Qur'an 24:30. Waambie Waumini wanaume wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao. Hili ni takaso bora kwao. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za wanayo yafanya. 30
31. Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipo kuwa unao dhihirika. Na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao, au watoto wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kaka zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, au wafwasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyo khusu uke. Wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa. 31
Huwa mnasema Ufaransa, Sweden na Denmark wana Islamaphobia.Niqab unaifahamu? Au mradi uchokoze Waislam tu?
Mbingu yako huipati mpaka uchokoze Waislam? Au unapenda kuujuwa Uislam?
Nakushauri uliza maswali yaliyokuwa chanya tupate kufaidika wote, kuwa hasi hakukuzidishii ila maumivu ya moyo tu.
Hapo na hijb hakuna niqab.Hapo ndipo pana Hijabu na Niqabu kumbe enhee....!
Hayo majina mmeyatoa wapi?
Wewe ni mfuasi wa Qurani au Sunna za Mtume Muhammadi?
Au vyote ?
Jibu maswali ewe Jinni Jike,
Fulkan
Abata, Hijab na niqab ni vitu tofauti.Huwa mnasema Ufaransa, Sweden na Denmark wana Islamaphobia.
Hata Ufaransa ilipopiga ban Hijab, Niqab na Abaya mliandamana na kudai wana Islamaphobia na wanaonea waislam.
Mimi nauliza, zile kelele za Islamaphobia tulizokuwa tunawapigia Ufaransa week iliyopita, mbona sizisikii hapa kwa Misri?
Mimi najua Kiarabu kukupita wewe Jinni Jike Furkan.Hapo na hijb hakuna niqab.
Niqab ni ile uliyokuwa unaivaa wakati wa corona, au wewe hujavaa niqab?
Tatizo hujuwi kiarabu ungeyaona kwnye Qur'an hiyo tuliyokuletea ni tafsiri na juu huko nimejaribu kukufahamisha kuwa Hijab ni stara au veil, shela, mtandio.
Unaona picha mnazosema za mama'ke Yesu? ile anyovaa ndiyo hijab.
Uislam ni mwema sana.
Kwa hiyo kitu kikisitiri kinakuwa Hijabu?Kumbe hata biblia yako huijuwi. Naam shela ni hijab, hijab ni neno la Kiarabu linalomaanisha stara.
Shela haisitiri?
Uislam ni mwema sana.
Nimekuuliza, zile kelele za Islamaphobia tulizokuwa tunawapigia Ufaransa week iliyopita, mbona sizisikii hapa kwa Misri?Abata, Hijab na niqab ni vitu tofauti.
Usijichanganye.
Kasome Qur'an 33:59Mimi najua Kiarabu kukupita wewe Jinni Furkan.
Jibu Swali.
Wapi kuna majina ya Hijabu na Niqabu kwenye Qurani ?
Weka hiyo Aya ya Kiarabu hapa tuitafsiri kwa lugha zote kikiwemo Kiarabu.
Pimbi wewe
Naam, ndiyo maana ya hijab, stara (modesty).Kwa hiyo kitu kikisitiri kinakuwa Hijabu?
Hata Suruali inasitiri. Hata shati linasitiri. Hata gauni linasitiri. Na hizo nazo ni Hijabu?
Mbona mna poor reasoning sana nyie watu wa mnyaazi?
Sikiliza kijana, Ufaransa huifahamu, imekataza hijab kwanza kabisa. Sasa wewe unaona ni sawa hivyo?Nimekuuliza, zile kelele za Islamaphobia tulizokuwa tunawapigia Ufaransa week iliyopita, mbona sizisikii hapa kwa Misri?