Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Waliouza bandari ni CHADEMA?Ukiwa Chadema ni tatizo, wako radhi kuuza nchi kwa maslahi yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliouza bandari ni CHADEMA?Ukiwa Chadema ni tatizo, wako radhi kuuza nchi kwa maslahi yao
Sahizi ikitokea vita usaliti utakuwa mkubwa sana maana kuna tabaka kubwa sana baina ya walio nacho na wasio nacho. Wanajeshi watachinjwa vibaya mnoUmeongea point, hilo battle hatuwezi, kwanza uzalendo umekwisha, vijana wengi hawaamini viongozi wao, wanaichukia nchi yao.
Zamani hadi shuleni watu waliimba nyimbo za kizalendo na vijana wa zamani walikuwa viburi kweli na huwaelezi kitu kuhusu nchi yao, hivi sasa hawa watoto wa tiktok, tutapigwa tujambe. Hehehehh
Kabisa, tena wapinzania ndio watakuwa wa kwanza kuitumia fursa vilivyo kuimaliza ccm.Sahizi ikitokea vita usaliti utakuwa mkubwa sana maana kuna tabaka kubwa sana baina ya walio nacho na wasio nacho. Wanajeshi watachinjwa vibaya mno
Mbona una owoga kama demu. haya waje. tanzania tunaendelea na miradi yetu ya umwagiliaji na ya maji majumbani. Mradi wa maji kwenda Sikonge, Urambo na Uyui unaendelea na Mradi wa maji kuja Dodoma upo mbioni kuanza.Umoja wetu huwa ni wa kutia mashaka, umoja wa kinafiki.
Congo hio hapo imetushinda kila mmoja na yake, hatuna kauli moja.
Sote tumeshuhudia US alivyokuwa na umoja na nchi zote za NATO na kwa pamoja kumsaidia Ukraine.
Hivyo huku hatuwezi.
Ndio maana nakuambia tutaoigwa tuchakae, siasa zetu huku ni kila mmoja kujali tumbo lake.
Gaddafi kapigwa na EU nani kaingilia ?
Hii Africa ndio maana Morocco wakitukana tunaona kubaguliwa lakini ni kweli akili hatuna.
Ndio maana Egypt inaongea kwa jeuri na kujiamini, hawajaongea kwa kauli ya kistaarabu na kukaa mezani, wametoa kauli ya dharau na kitisho...
Cause wanatufahamu.
Sure lo. Muda ni jibu tosha