Misri yasema haitakubali kupoteza hata mita moja ya ujazo ya maji Mto Nile, yaukataa Mkataba wa Entebbe

Sahizi ikitokea vita usaliti utakuwa mkubwa sana maana kuna tabaka kubwa sana baina ya walio nacho na wasio nacho. Wanajeshi watachinjwa vibaya mno
 
Sahizi ikitokea vita usaliti utakuwa mkubwa sana maana kuna tabaka kubwa sana baina ya walio nacho na wasio nacho. Wanajeshi watachinjwa vibaya mno
Kabisa, tena wapinzania ndio watakuwa wa kwanza kuitumia fursa vilivyo kuimaliza ccm.
 
Mbona una owoga kama demu. haya waje. tanzania tunaendelea na miradi yetu ya umwagiliaji na ya maji majumbani. Mradi wa maji kwenda Sikonge, Urambo na Uyui unaendelea na Mradi wa maji kuja Dodoma upo mbioni kuanza.

Kwenye umwagiliaji mradi wa kutoa maji Ziwani kwenda Mkoa wa Simiyu unaendelea na mradi wa Bugwema upo mbioni kuanza. Maji ya ziwa Victora tutayatumia kumwagilia mashamba hadi Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…