Misri yasema haitapinga uvamizi wa Rafah, kimsingi IDF watoe hakikisho raia hawatauawa

Kiaina Misri wameshakubali mzika wa Isarel,sasa wanacheza,kiakili. Misrimwanajua sana hakuna mapigano ya mjini ambayo raia hawatakufa au kujeruhiwa, hapo rafa kuna watu zaidi ya milioni kwenye eneo dogo sana , huwezi sema ihakikishwe raia wasife ! Huo ni uongo wa waarabu .
 
Hiyo taarifa inaonekana ni fake ni ya kujifariji wengine mnasema Israel inajetekenya.
Taarifa sahihi ni hiyo ya Wall street ambayo imesharudiwa mara kadhaa na wasemaji wa Misri.
Tusubiri wakati ufike ndo ukweli na usahihi au kuwa Taarifa ni Fake itaeleweka.
IDF haangalii makunyazi.
 
Nakazia: Akili za kupewa ongeza na za kwako.
 
Wana mgambo hawawezi kuisha wataua wanawake na watoto
 
leo tarehe 13/2 wamedondoka watatu , wawili wako mahututi, katili nae anakufa

Mazombi yenu 30,000 yamewahishwa kwa akba akba, mimi sikutegemea mpaka sasa kuna mateka ako hai....
 
IDF piga mbwaaaaaaa
Kifupi hakuna Nchi yeyote ya kiarabu ya kiislamu Nchi zote zinazopakana na Israel wanaowahitaji Hamas ikiwemo Misri furaha Yao ni kuona Hamas wanafutiliwa mbali sababu ni tishio la amani Hata kwenye Nchi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…