^^
Nianze kwa kushukuru kila mmoja aliyeshiriki katika uendeshaji wa zoezi zima la kumtafuta mrembo mwenye avatar yenye mvuto katika madada wa Chit Chat..Mheshimiwa
Baba V pamoja na wageni wote.Nachukua fursa hii kutangaza matokeo na kutoa zawadi
....
Kabla ya yote, NISEME wazi kuwawengi wametumia muda mwingi ku-mention kuliko kupiga kura.Washiriki walikuwa 15,,lakini mshindi aliyetafutwa ni mmoja tu.Washiriki hawa ni
FP Boflo Rich woman @Heavean on earth
Lady doctor Moghe Mwali ladyfurahia Mrembo by Nature Evelyn Salt snowhite na
christine ibrahim
Kwa niaba ya kipenzi changu
Queen Kan ASANTENI SANA KWA KUSHIRIKI
....
MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO
JUMLA YA KURA NI.......55
ZILIZOHARIBIKA..........30
WALIOJITOA ...............02
KURA HALALI...............25
....
TAKWIMU ZA USHINDI
Boflo.......................01
snowhite..................01
ladydoctor...............00
sakapal................... 01
christine ibrahimu.....01
Mwali......................01
Heaven on earth.......01
Evelyn Salt...............01
Moghe.....................01
ladyfurahia..............01
FP..........................03
Rich woman.............05
Mrembo by Nature......08
...
Hivyo basi mshindi wa zawadi hii ni
Mrembo by Nature
NAOMBA KWA RUHUSA YA
Baba V uje uchukue zawadi yako hii
Shela
View attachment 99729
pesa
View attachment 99730
nyumba
View attachment 99731
SHEREHE NJEMA
^^