Miss Buza ya Rayvanny

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Nimependa sana video ya Rayvanny pamoja na audio yake, Rayvanny jamaa ni mbunifu sana. Video yake nimependa sana mwanzo wa video wakati Rayvanny amelala na demu wa Buza, wakati Rayvanny anachungulia kijicho kimoja demu akaamka akaanza kubeba vitu vya Rayvanny ila alipataka kuchukua wallet ya Rayvanny.

Rayvanny akamdaka akamuuliza unataka kufanya Nini demu akajibu naenda kufua 🀣🀣 Rayvanny akamuuliza ndo hadi wallet yangu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Big up Sana Rayvanny kazi nzuri sana mwanangu wa Mbeya. Unaiwakilisha Mbeya vizuri endelea kutupa kazi vizuri hivi hivi.
 
saivi kibongo bongo tunawasanii wakubwa wawili pekee
1.diamond
2.vany boy

makande boya &kibao kata hawa ni local artist coz wasanii wakubwa kwa sasa wanapimwa na platform kote duniani...

yule makande saivi wiki nzma mama haijafikisha 1m hadi anazidiwa na watoto akina mbosso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…