Nimependa sana video ya Rayvanny pamoja na audio yake, Rayvanny jamaa ni mbunifu sana. Video yake nimependa sana mwanzo wa video wakati Rayvanny amelala na demu wa Buza, wakati Rayvanny anachungulia kijicho kimoja demu akaamka akaanza kubeba vitu vya Rayvanny ila alipataka kuchukua wallet ya Rayvanny.
Rayvanny akamdaka akamuuliza unataka kufanya Nini demu akajibu naenda kufua 🤣🤣 Rayvanny akamuuliza ndo hadi wallet yangu 😃😃😃
Big up Sana Rayvanny kazi nzuri sana mwanangu wa Mbeya. Unaiwakilisha Mbeya vizuri endelea kutupa kazi vizuri hivi hivi.