Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje ni mdada?Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
ni mrembo kumbe khaaaaaa weka picha yakeHeshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
sasa unataka kutuaminisha kuwa ni mzuri akaaNamfaham binafsi
Tutajuaje sio wewe mwenyewe?Namfaham binafsi
nakupenda pia umukagame wapotezee wakikusemaHeshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee
vya kuku...........Mbona povu jingi kwani vipi
nipende na mie kidogo naomba napenda kupendwaNakupenda hadi aumwa my miss chaga