Miss chaga

Miss chaga

Hahaha una nyota ya kunguni
nifanyeje sasa, ila nakataa hiyo nyota aisee , najua kuna atayejitokeza kunipenda.

Nimejifunza pia kupitia kwako,kwamba sio kila unachoomba waweza pata kwa mwanadamu but kwa Mungu ukiomba chochote kwa neno lake kupitia jina la Yesu hakika unapata in a minute/second.
 
Sikiliza miss chagga hao wote waongo.... Hawakupendi ila wanakytaman ulivyo mzuuri...
Mm peke angu ndo nna mahaba !! Tena yale ya mahaba nigalagaze, niburuze buruze nichunike, ninyonge ninyongeke,
Hapa kwangu utafurhi mwenyeeewe
 
Back
Top Bottom