Miss chaga

Miss chaga

Sikiliza miss chagga hao wote waongo.... Hawakupendi ila wanakytaman ulivyo mzuuri...
Mm peke angu ndo nna mahaba !! Tena yale ya mahaba nigalagaze, niburuze buruze nichunike, ninyonge ninyongeke,
Hapa kwangu utafurhi mwenyeeewe
haya nasubiria uweke kipengele muhimu cha pesa
 
Kweli wiii eeh. Ila Mimi lazma atupiamo kapicha
wii bhana acha kuwa Tomaso. mpendage tu hivyohivyo. unajua comments za mutu zinaonyesha u cute wake.

so mie najua she is so cute even upstairs smart.
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
hizi habari za kukutana mitaani halafu kuja kutangaza humu ni batili mtangaze na wababa mnaokutana nao kwenye maguest house
 
Back
Top Bottom