Miss chaga

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
MISS CHAGA
Mwembamba kama panya road ...Shingo ndefu kama kuku wa kishingo. .. Amekomaa kama mzee Ngengemkenii mito michache .

SOOOOORY LAKINI NAPITA TUU
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
penda na wanaume bac tunakusubiria tupo ready
 
Nasema humjui miss chagga ni bandidu wa ukweli!! ingia 18 zake atang'oa hadi mataruma acha reli huyo???huuuuwiiii nilielekezwa kuwa huyo ndo miss chaga nilibaki kinywa wazi ila kazuri ila ubaya wake ni gaidi wa kutosha!!
Ulipoonyesha ukamuona chura yupo
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
MISS CHAGA
Mwembamba kama panya road ...Shingo ndefu kama kuku wa kishingo. .. Amekomaa kama mzee Ngengemkenii mito michache .

SOOOOORY LAKINI NAPITA TUU
ha ha ha ha
 
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
Napita tu,, [emoji3] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…