miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
like you moreMiss chagga me too i like u, take hi5[emoji109]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
like you moreMiss chagga me too i like u, take hi5[emoji109]
Poa mkuu , upo poa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cute b mambo!
Poa sana dadanguPoa mkuu , upo poa??
Mimi ni mfanyakazi mzuri na naipenda kazi yangu, siwezi kupoteza utu na thamani ya kazi yangu kwa pesa za rushwa. Nitalipwa na STUNTER pesa halali ya kazi ya mikono yangu.
Hebu picha nijue kama kweli ni mrembo?Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee
karibuNna shida binafsi naomba nije huko
Acha kutudanganya tumuone basi kama kwelini kweli miss chagga ni mzuri i know her out of jf ni my friend pia
miss chagga sio wa levo hizo mkuu yupo juu bola tusijuane tu[emoji121] [emoji121]
WAKUU,
HUYU NDIYE MWENYEWE,
AMEAMUA KUJA NA ID INGINE KWA AJILI YA MATANGAZO MUBASHARA YA AINA HII!
HILI TANGAZO LILIPIWE VAT KABISA HILI!
Hana kinyongo watu hawa hua wanchelewa kufa piaHahahaha ndo mana nakupenda yani
Picha muhimu usipende majibu tupuKweli wiii eeh. Ila Mimi lazma atupiamo kapicha
Acheni kutupa hasira bhanaa wapi ulimuona???I know this lady, she's cute, romantic, ana sauti nyororo. Usiniulize nilionana naye wapi.
Wata kuua hawa wambie wa misifa wavumilie tu kama mimiha haha asante mama
haya nitawaambiaWata kuua hawa wambie wa misifa wavumilie tu kama mimi
Kuna alie simama mwambie anipishekaribu
unataka kusimama wewe?Kuna alie simama mwambie anipishe
Apana nipitilize adi uko hafu arudi sehem yakeunataka kusimama wewe?
hayaApana nipitilize adi uko hafu arudi sehem yake
nimeogopa mkuu, acha niwe mpoleShauri zako....