Miss chaga

Ntakuongezea palipopanda[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
okey hope unaongeza bure usije nitembelea usiku..

mtani halafu leo nimeota mdingi wangu kavuta halafu mi nimeamka naumwa vibaya mno .. watakuwa walikuja ?
 
Si huo mkwara wako jamani. Eti akamsifie pm lol
Eeh sasa sisi uzuri wa miss chaga unatuhusu nini? nani kamwambia kuna mashindano ya uzuri huku?

Kama amempenda akamchukue wakanywe wote chai sio kuja kumsifiasifia hapa na wengine hatutaki kuingia ingia pm za watu
 
Ha haa we nimekustukia... Unaogopa utashawishika kuzama pm[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…