Miss chaga

Miss chaga

Sidhani Kama hawa mawaziri watapona iwapo JPM atabadilisha baraza la Mawaziri
1. Ummy Mwalimu
2. January Makamba
3. Jummanne Maghembe.
4....
5.......

Kuna wengine wengi tu, ila hawa wameshindwa kazi kwa maoni yangu. Pengine msukuma atapata nafasi kwenye baraza jipya au Lusinde maana wana spidi ya mwendokasi
Wewe na hoja zako za maw
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa

Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu

@Nb/ kama uko na strees pita kulee
Wewe sema wazi kama umezimika kieleweke

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Tangu nilipo toweka visiku vichache humu jamvini...... ghafla pamekua na mfumuko wa threads zenye mabadiliko ya mwendo kazi
 
Back
Top Bottom