miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
😉dah mkuu hapo kwenye sauti ni noma aiseee ktk wanawake niliowahi kuongea nao miss chagga sauti yake ni ya kumtoa nyoka pangoni unaweza uza kila kitu aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😉dah mkuu hapo kwenye sauti ni noma aiseee ktk wanawake niliowahi kuongea nao miss chagga sauti yake ni ya kumtoa nyoka pangoni unaweza uza kila kitu aiseee
Nasema humjui miss chagga ni bandidu wa ukweli!! ingia 18 zake atang'oa hadi mataruma acha reli huyo???huuuuwiiii nilielekezwa kuwa huyo ndo miss chaga nilibaki kinywa wazi ila kazuri ila ubaya wake ni gaidi wa kutosha!!Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee
halafu siku hizi sizipati zile za nani kulePoa booster nnayo tena new model ya newala
ha hahahhaNasema humjui miss chagga ni bandidu wa ukweli!! ingia 18 zake atang'oa hadi mataruma acha reli huyo???huuuuwiiii nilielekezwa kuwa huyo ndo miss chaga nilibaki kinywa wazi ila kazuri ila ubaya wake ni gaidi wa kutosha!!
Unajua humu JF watu tunachukuliana poa kwa kuwa hatufahamiani, wallah miss chagga kabarikiwa sauti, and nice looking.dah mkuu hapo kwenye sauti ni noma aiseee ktk wanawake niliowahi kuongea nao miss chagga sauti yake ni ya kumtoa nyoka pangoni unaweza uza kila kitu aiseee
Usijali mambo iko poa sass utapata kila kituhalafu siku hizi sizipati zile za nani kule
sureUnajua humu JF watu tunachukuliana poa kwa kuwa hatufahamiani, wallah miss chagga kabarikiwa sauti, and nice looking.
we umeongea pointMiss chaga Ni PM ni kutumie kiasi cha fedha M. Pesa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]we umeongea point
Fanya hivyo haraka Leo nnina pesa ya kutoshawe umeongea point
tena weekend imeanzaFanya hivyo haraka Leo nnina pesa ya kutosha
Unaonaje nikikupendaa.nipende na mie kidogo naomba napenda kupendwa
thanks for acknowledge herni kweli miss chagga ni mzuri i know her out of jf ni my friend pia
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
@Nb/ kama uko na strees pita kulee
safi mkuu .. usiseme mengi mengiAisee! Mambo vipi miss chagga? Sijui nami niseme neno?
Ha ha haa, nakutania tu ila nimefurahi.safi mkuu .. usiseme mengi mengi
asabte mkuuHa ha haa, nakutania tu ila nimefurahi.
hahahahhah hivi asprin ana hizi taarifa za wewe kugawa namba yako ya simu kwa mtu mwingine hahahahahah0713800880