Miss chagga bring back my hazbendi

Usikubali kuonja umeona wake za watu wanavolia sipendi mdogo wangu aumie pia take care bwashee...

bora umenisaidia my sis maana jinsi alivyouliza tu inaelekea ametamani kuonja
 
bora umenisaidia my sis maana jinsi alivyouliza tu inaelekea ametamani kuonja

Yaani bora umewahi maana huyu miss chaga amekuja na kasi ya ajabu Shem asitoke ndani huyo haka kaupepo kapite kwanza...
 
Last edited by a moderator:
nampima tu akili... niende nje nikakutane na nn? kama ni macho ya mahaba unayo.. kama ni mapenzi mashalaaa... nn shida?
siko tayari kuja kula sahani moja na baba mkwe wangu Ntuzu

si ndo hapo na mimi nakushangaa? au labda unataka akakukamue hivyo vihela vyetu tulale na njaa
 
weweweeeee sikubali mke wangu....
miss chagga kama kweli umekula kigegedeo cha mzee Ntuzu kuanzia leo naomba nikubadilishe jina.. utakuwa mama mdogo kwangu..

Acha bana Shem ukimwita hivo atapata kichwa, hamna umama mdogo hapa wala ubimdogo...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…