Miss chagga bring back my hazbendi

Miss chagga bring back my hazbendi

Kasinde mpnz wangu hebu njoo basi fasta hapa nkwambie kitu kabla Khantwe na Tized kimbaumbau haja!

mi naogopa kufanyiwa mande bana, mambo ya humu hata hayaeleweki ukijifanya leo uko na huyu, kesho yule mmmhhh wanakufanyia mande sasa hv. Wacha mie nijilie ujana mambo ya mapenz yalishanishindaga Kasinde mie ndomana hata Tized........................ manyoya!!!!
 
Mhh umeona eehh ni ngumu sana kumuacha miss chagga aise maana anajua kucheza pool table balaa na usiku kucha hachoki

smiley-lol.gif
elephant-lol.gif
 
Kasinde hakunaga tena hizo mambo siku hizi watu wamestaarabika bana Tyta wewe mtata sana aise yaani nimekukubali

kweli!!! mmmhh mi naogopa kufanyiwa mande bana tyta sjui ndo kasema ntapasuliwa kwa kukumbatiwa..................!!!!
 
Unasemaaaaa!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom